
Mawakili wanajadili haki za wakimbizi duniani katika maadhimisho ya siku ya wakimbizi.
Kila Juni 20 dunia huadhimisha siku ya wakimbizi duniani, juma hili mawakili Maasai Mutune na Rajab Membe, kutoka shirika la Refugee Led Organization Network nchini Kenya, wanajadili haki za wakimbizi. Skiza makala haya kufahamu mengi.
Explore listener stats, chart rankings, contacts and more on the Jua Haki Zako podcast page.