‘Shujaa wa Usawa wa Kijinsia'Ufeminisia, Railimali na Bajeti za Kijinsia’Mary Rusimbi

‘Shujaa wa Usawa wa Kijinsia'Ufeminisia, Railimali na Bajeti za Kijinsia’Mary Rusimbi

From Discovering Africa Thru' Technology by Raziah Mwawanga

March 20, 2024 · 33 min

About this episode

Mary Rusimbi discusses gender equality and budgeting in Tanzania.

Mary Rusimbi Mwanzilishi na Mkurugenzi wa Nendiwe Feminist Wellness and Coaching Center Kutana na Mary Rusimbi Gwiji na Mtaalam wa Jinsia na Bajeti za Jinsia Tanzania, Mmoja wa waanzilishi/Mkurugenzi wa Mtandao wa Jinsia Tanzania(Tanzania Gender Networking Programme) TGNP Mvumbuzi, Mbunifu, Mwanzilishi na Mkurugenzi wa Kwanza wa Mfuko pekee wa Ruzuku kwa wanawake Tanzania – Tanzania Women Fund (Women Fund Tanzania Trust) mfuko wa kwanza wa Kifeministi wa Kitaifa wa ruzuku wenye ajenda ya kuwekeza katika rasilimali kwa wanawake , wasichana na haki za Watoto Tanzania. Je unajua Tanzania ilikua nchi ya tatu Afrika katika mafanikio ya kutengeneza bajeti za Kijinsia? Na ilikuwa imefanikiwa na kwenda kwa kasi kubwa kuongeza usawa wa jinsia kwenye mapendekezo ya katiba mpya pamoja na kuongeza asilimia 50 ya wanawake katika uongozi. Usawa wa jinsia unawezekana kwa kuendeleza harakati zilizoanzishwa sio kufautilia mipango na malengo ya jumla yanarudisha nyuma maendeleo https://nendiwewellness.com/ https://wftrust.or.tz/ https://tgnp.or.tz/ Follow us on Twitter : @discoverAfrDATT Instagram :@discoverAfrDATT Facebook :discoverAfrDATT LinkedIn :@discoverAfrDATT Email…

People in this episode

Host: Raziah Mwawanga

Guest: Mary Rusimbi

Topics covered

  • gender equality
  • feminism
  • gender budgeting
  • women's rights
  • Tanzania

Keywords

  • gender equality
  • feminism
  • Tanzania
  • gender budgeting
  • women's rights
  • Mary Rusimbi

Mentioned in this episode

Organizations: Nendiwe Feminist Wellness and Coaching Center, Tanzania Gender Networking Programme, Tanzania Women Fund

Places: Tanzania

More episodes of Discovering Africa Thru' Technology

Explore listener stats, chart rankings, contacts and more on the Discovering Africa Thru' Technology podcast page.