‘Shujaa wa uwekezaji katika Uchumi ‘Sauti ya Mwanamke Sokoni’ Jane Magigita

‘Shujaa wa uwekezaji katika Uchumi ‘Sauti ya Mwanamke Sokoni’ Jane Magigita

March 18, 2024 · 38 min

About this episode

The episode features Jane Magigita discussing the economic importance of recognizing and investing in women in the informal market in Tanzania.

Je unajua umuhimi na uwezo mkubwa uliokuwepo kiuchumu kama serikali ingetambua,dhamini na kuwekeza katika wanawake wasikuwa kwenye sekta rasmi ya wanawake masokoni. Kutana na Jane Magigita Mkurugenzi wa Equality for Growth na Mvumbuzi, Mbunifu wa 'Sauti ya Wanawake Sokoni'. Mwanasheria, Mtetezi wa Haki za Wanawake na Haki za Jinsia pamoja na Mwezeshaji wa Sekta isiyorasmi akifafanua uzoefu wake kuhusu umuhimu wa kundi lisilotambulika, lililosahaulika (WANAWAKE SOKONI)na mchango wake katika uchumi wa Tanzania pamoja na umuhimu wa kuwekeza kwao kwa kuwatambua na kuwarasimisha. Equality for Growth https://efg.or.tz/ Facebook: equalityforgrowth/ Instagram:equalityforgrowth/ Twitter@equalityforgrowth #SautiyaMwanamkesokoni #mperizikisimatusi #vitendawilivyacorona #simulizizawanawakesokoni Follow us on Twitter : @discoverAfrDATT Instagram :@discoverAfrDATT Facebook :discoverAfrDATT LinkedIn :@discoverAfrDATT Email : discoveringafricaDATT

People in this episode

Host: Raziah Mwawanga

Guest: Jane Magigita

Topics covered

Keywords

Mentioned in this episode

Organizations: Equality for Growth, Sauti ya Wanawake Sokoni

Places: Tanzania

More episodes of Discovering Africa Thru' Technology

Explore listener stats, chart rankings, contacts and more on the Discovering Africa Thru' Technology podcast page.