‘Uwekezaji katika Haki za Binadamu za Wanawake Watetezi wa Haki za Binadamu na Makundi Maalum Hilda Stuart Dadu

‘Uwekezaji katika Haki za Binadamu za Wanawake Watetezi wa Haki za Binadamu na Makundi Maalum Hilda Stuart Dadu

March 15, 2024 · 32 min

About this episode

Hilda Stuart Dadu discusses the successes and challenges of investing in human rights for women and marginalized groups in Tanzania.

Wakili Msomi Hilda Stuart Dadu ni Mratibu wa Mtandao wa Wanawake Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (Coalition for Women Human Rights Defenders Tanzania) na Katibu wa Mtandao wa Wanawake Watetezi wa Haki za Binadamu Africa Mashariki. Mwanaharakati Mbobezi na Mtetezi wa Haki za Binadamu za Wanawake na Makundi Maalum anaelezea mafanikio na changamoto katika kuwekeza katika haki za binadamu Tanzania. Hilda anasistiza umuhimu wa kuwekeza katika sheria na mifumo bora inayoheshimu, linda na kutekeleza sheria za kuwalinda wanawake watetezi wa haki za binadamu na makundi maalum Tanzania. Kuimarisha utawala bora na usalama wa raia kuzuia uvunjwaji wa sheria, machafuko, ukatili wa kijinsia na matabaka yatakayogharimu taifa gharama kubwa. https://cwhrds.or.tz/ @cwhrdstz https://web.facebook.com/cwhrdstz https://www.instagram.com/cwhrdstz/ Follow us on Twitter : @discoverAfrDATT Instagram :@discoverAfrDATT Facebook :discoverAfrDATT LinkedIn :@discoverAfrDATT Email : discoveringafricaDATT@gmail.com

People in this episode

Host: Raziah Mwawanga

Guest: Hilda Stuart Dadu

Topics covered

Keywords

Mentioned in this episode

Organizations: Mtandao wa Wanawake Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania, Mtandao wa Wanawake Watetezi wa Haki za Binadamu Africa Mashariki

Places: Tanzania

More episodes of Discovering Africa Thru' Technology

Explore listener stats, chart rankings, contacts and more on the Discovering Africa Thru' Technology podcast page.