20 JULAI 2026

20 JULAI 2026

July 20, 2026 · 10 min

About this episode

Episode discusses the importance of empowering youth, environmental protection, and food security in relation to the UN's Sustainable Development Goals.

Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina. Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa (SDGs) yanatambua kuwa kuwawezesha vijana, kulinda mazingira na kuimarisha uhakika wa kupata chakula ni miongoni mwa nguzo muhimu za kujenga jamii zenye ustahimilivu na maendeleo endelevu. Kupitia malengo kama vile la Kutokomeza umaskini, kutokomeza njaa na hatua dhidi ya mabadiliko ya tabianchi , jamii zinahimizwa kuwekeza katika suluhisho zinazowawezesha wananchi kujitegemea huku zikihifadhi mazingira kwa vizazi vya sasa na vijavyo. Hatua hizo zinatekelezwa katika enoe la Kajiado Kaskazini, katika kaunti ya Kajiado, kusini mwa Kenya kama anavyosimulia Kelvin Keitany wa radio washirika, Domus Radio.Hii leo Umoja wa Mataifa umekuwa na matukio mbalimbali ya kuadhimisha siku ya Mandela, Rais wa kwanza mweusi wa taifa la Afrika Kusini kwa mchango wake wa utetezi wa haki. Miongoni mwa kulikofanyika maadhimisho hayo ni Nairobi, Kenya ambako Stella Vuzo wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa alikuwa shuhuda wetu. Licha ya idadi ya magari duniani kuongezeka kwa zaidi ya bilioni moja, Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani WHO limesema vifo vinavyotokana na ajali za barabarani…

People in this episode

Guest: Kelvin Keitany

Topics covered

Keywords

Mentioned in this episode

Organizations: Umoja wa Mataifa, Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani WHO

Places: Kajiado Kaskazini, Kajiado, Nairobi

More episodes of Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Explore listener stats, chart rankings, contacts and more on the Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu podcast page.