
Shirika la Umoja wa Mataifa la Usafiri wa Baharini linasisitiza umuhimu wa kulinda haki na uhuru wa usafiri wa majini kulingana na sheria za kimataifa.
Taarifa iliyotolewa leo na Shirika la Umoja wa Mataifa la Usafiri wa Baharini (IMO) imeeleza kuwa Baraza la shirika hilo lililohitimisha kikao chake cha 137 linasisitiza tena umuhimu wa kulinda haki na uhuru wa usafiri katika maji kwa mujibu wa sheria za kimataifa. Anold Kayanda ameifuatilia taarifa hiyo.
Organizations: Shirika la Umoja wa Mataifa la Usafiri wa Baharini
Explore listener stats, chart rankings, contacts and more on the Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu podcast page.