
This episode discusses the origins and benefits of the Good Neighbor Education in relation to conservation and community involvement.
Episodi hii inaangazia - Chimbuko la Elimu ya Ujirani Mwema - Uanzishwaji na malengo yake kwa jamii zinazoishi kuzunguka Hifadhi za Taifa - Faida zake na umuhimu wa ushiriki wa wananchi katika kuhifadhi rasilimali za Taifa kwa kizazi cha sasa na kijacho Mgeni Mualikwa: Afisa Uhifadhi Mwandamizi Samwel Nassari, Kitengo cha Uhifadhi – TANAPA Makao Makuu. Host: Afisa Uhifadhi Daraja la Pili Happiness Sam, Idara ya Habari na Mawasiliano – TANAPA. Sikiliza kupitia: - Apple Podcasts - Amazon Music - YouTube Music - Spotify - Na majukwaa mengine zaidi ya 39 ya podcast duniani. Usikose maarifa, elimu na mjadala wenye manufaa kuhusu Uhifadhi na Ujirani Mwema. Stay tuned! TANAPA PODCAST, HIFADHI ZETU, SAUTI YETU #TANAPAPodcast #TANAPADigital #TANAPAUpdates #UjiraniMwema #Conservation
Host: Happiness Sam
Guest: Samwel Nassari
Organizations: Tanzania National Parks, TANAPA
Explore listener stats, chart rankings, contacts and more on the TANAPA PODCAST podcast page.