
The episode discusses the ongoing process of relocating elephants from areas near communities to national parks and the efforts to manage elephants that invade human settlements.
Episodi hii imeangazia zoezi endelevu la kuwahamisha tembo walowezi kutoka maeneo ya karibu na wananchi kwenda hifadhini na zoezi zima la kuwaswaga tembo waliotoka hifadhini kuvamia maeneo ya wananchi na kuwarudisha hifadhini. Sikiliza Episodi hii kwa taarifa hiyo na mengine mengi kupitia Epsode ya 12. Eneo: Misenyi - Bukoba. Host: Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi, Catherine Mbena Guests: Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi Dkt. Fredrick Mofulu - Mkuu wa Hifadhi Ibanda - Kyerwa. Na Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi Charles Ngendo - Mkuu wa Hifadhi Rumanyika - Karagwe. Fuatilia kupitia Platform za TANAPA Podcast.
Host: Catherine Mbena
Guests: Dkt. Fredrick Mofulu, Charles Ngendo
Places: Misenyi, Hifadhi ya Taifa Burigi - Chato, Bukoba
Explore listener stats, chart rankings, contacts and more on the TANAPA PODCAST podcast page.