
This episode discusses the history of Tanzania's independence movements led by Julius Nyerere, in remembrance of his legacy.
Kuelekea Kumbukizi ya Kifo cha Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere Oktoba 14, TANAPA PODCAST tunakueletea uchambuzi kuhusu historia ya harakati za uhuru wa Tanganyika zilizoongozwa na Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere. Hapa utapata kujifunza mengi kuhusu harakati za Uhuru wa Tanganyika na Afrika kwa ujumla. Ikumbukwe historia hii imehifadhiwa katika Nyumba ya Kumbukizi ya Mwl. Nyerere iliyopo Magomeni Usalama jijini Dar es Salaam. Fuatilia uhondo huo katika Epsode ya 11. Eneo: Dar es salaam Host: Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi, Catherine Mbena Guest: Afisa Mhifadhi Mkuu Mariam Njaritha - Mkuu wa Kituo Nyumba Kumbukizi ya Mwl. Nyerere Usikose kila Jumatatu na Alhamisi kupitia Platform za TANAPA Podcast. TANAPA PODCAST, HIFADHI ZETU, SAUTI YETU.
Host: Catherine Mbena
Guest: Mariam Njaritha
Organizations: Tanzania National Parks
Places: Dar es Salaam, Magomeni Usalama
Explore listener stats, chart rankings, contacts and more on the TANAPA PODCAST podcast page.