
The episode discusses the climbing of Mount Kilimanjaro and the importance of participating in the Twenzetu Kileleni campaign.
Episodi hii inaangazia mazungumzo ya kina kuhusu zoezi la upandaji wa Mlima Kilimanjaro ambapo Profesa Kamuzora anaeleza uzoefu wake katika kupanda mlima kwa muda mrefu. Fahamu faida ya kushiriki kampeni ya “Twenzetu Kileleni katika kuadhimisha kumbukumbu ya uhuru wa Taifa letu, kuhamasisha utalii pamoja na utunzaji wa mazingira. Host: Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi, Catherine Mbena - Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano - TANAPA Guest: Prof. Faustin Kamuzora - Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi UTT AMIS.
Host: Catherine Mbena
Guest: Prof. Faustin Kamuzora
Organizations: Tanzania National Parks
Places: Mlima Kilimanjaro
Explore listener stats, chart rankings, contacts and more on the TANAPA PODCAST podcast page.