
Insights from recent episode analysis
Audience Interest
Podcast Focus
Publishing Consistency
Platform Reach
Insights are generated by CastFox AI using publicly available data, episode content, and proprietary models.
Most discussed topics
Brands & references
No brand mentions extracted.
Est. Listeners
Insufficient chart data. Estimates will improve as the show charts.
- Per-Episode Audience
Est. listeners per new episode within ~30 days
N/A🎙 ~2x weekly·18 episodes·Last published today - Monthly Reach
Unique listeners across all episodes (30 days)
N/A - Active Followers
Loyal subscribers who consistently listen
N/A
Market Insights
Platform Distribution
Reach across major podcast platforms, updated hourly
Total Followers
—
Total Plays
—
Total Reviews
—
* Data sourced directly from platform APIs and aggregated hourly across all major podcast directories.
On the show
From 10 epsHosts
Not detected.
Recent guests
Recent episodes
Je, kukopa kunasaidia ukuaji wa uchumi au kunaleta hatari za siku zijazo?
Jun 24, 2026
Unknown duration
Kutoka taslimu hadi kidijitali: Namna simu zinavyobadili mfumo wa malipo Afrika
Jun 10, 2026
Unknown duration
Sekta ya maua Kenya yatikiswa na gharama na kuyumba kwa masoko ya kimataifa
Jun 4, 2026
Unknown duration
Umuhimu wa bara la Afrika kufanya biashara za ndani
Jun 3, 2026
Unknown duration
Mkutano wa 'Africa Forward' una maana gani kwa mustakabali wa Afrika
May 6, 2026
Unknown duration
Social Links & Contact
Official channels & resources
Official Website
Login
RSS Feed
Login
| Date | Episode | Topics | Guests | Brands | Places | Keywords | Sponsor | Length | |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 6/24/26 | ![]() Je, kukopa kunasaidia ukuaji wa uchumi au kunaleta hatari za siku zijazo? | Msikilizaji nchi nyingi za Afrika Mashariki zimeendelea kukopa ili kufadhili maendeleo, na huku wadau wengine wakisema mikopo ni muhimu kwa ukuaji wa uchumi, Wengine wanaonya kuwa madeni yanapoongezeka kupita kiasi, serikali hulazimika kutumia fedha nyingi kulipa madeni hayo badala ya kuboresha huduma muhimu kama vile afya, elimu na ajira. Katika Makala ya Gurumu la Uchumi hivi leo, tunauliza: Je, deni la taifa ni daraja la maendeleo au ni mzigo unaoweza kuathiri uchumi wa Afrika? | — | ||||||
| 6/10/26 | ![]() Kutoka taslimu hadi kidijitali: Namna simu zinavyobadili mfumo wa malipo Afrika | Ufanyaji biashara na utumaji wa fedha kwa njia ya simu za kiganjani barani Afrika unakua kwa kasi, pochi za simu zimerekodi takriban asilimia 19 ya uingiaji wa pesa kwenye eneo la Kusini mwa Jangwa la Sahara, huku wastani wa gharama ya utumaji pesa ukishuka hadi karibu asilimia 3.54 hii ni kwa mujibu wa benki ya dunia. Kwanye Makala ya Gurudumu la uchumi wiki hii, tunaangazia matumizi ya telknolojia za malipo ya mtandaoni hasa kupitia simu, jina langu ni Emmanuel Makundi, Karibu. | — | ||||||
| 6/4/26 | ![]() Sekta ya maua Kenya yatikiswa na gharama na kuyumba kwa masoko ya kimataifa | Msikilizaji Sekta ya maua nchini Kenya, ambayo kwa muda mrefu imekuwa miongoni mwa nguzo muhimu za uchumi na chanzo kikuu cha mapato ya fedha za kigeni, ikiingizia nchi zaidi ya dola bilioni moja za Marekani kila mwaka, sasa inakabiliwa na changamoto zinazotia wasiwasi kuhusu mustakabali wake. | — | ||||||
| 6/3/26 | ![]() Umuhimu wa bara la Afrika kufanya biashara za ndani | Katika makala ya wiki hii, tunajadili ni kwanini nchi za Afrika zinapaswa kuongeza kasi ya ufanyaji wa biashara za wenyewe kwa wenyewe kukuza utangamano wa kikanda. | — | ||||||
| 5/6/26 | ![]() Mkutano wa 'Africa Forward' una maana gani kwa mustakabali wa Afrika | Tarehe 11 na 12 ya wiki ijayo, Jiji la Nairobi, Kenya litakuwa mwenyeji wa mkutano wa kwanza wa kihistoria wa ‘Africa Forward’ kati ya Ufaransa na Afrika, mkutano ambao unafanyika kwenye nchi inazungumza Kingereza, ambapo viongozi wa Afrika, wafanyabiashara na wabunifu vijana kutoka Afrika na Ufaransa watakongamana kwa siku mbili. Kwenye Makala ya Gurudumu la Uchumi hivi leo tunaangazia uhusiano mpya kati ya Ufaransa na Afrika, wachambuzi wetu ni Ali Mkimo na Hamduni Marcel. | — | ||||||
| 4/22/26 | ![]() Akili unde na mustakabali wa uchumi wa Afrika: Fursa mpya kwa vijana wabunifu✨ | technologyeconomy+3 | Kevin Obote | — | teknolojia ya Akili Unde | Akili Undeeconomic challenges+3 | — | 10m 01s | |
| 4/1/26 | ![]() Kwa nini vikwazo vya usafirishaji ni kizuizi kikubwa cha biashara Afrika Mashariki✨ | businesstransportation+3 | Tobias Alando | — | KenyaLusaka | transportation costsEast Africa+3 | — | 9m 59s | |
| 3/11/26 | ![]() Uwazi kwenye ubinafsishaji wa mashirika ya uma ni muhimu kwa maendeleo✨ | economic reformsprivatization+3 | — | — | — | privatizationpublic enterprises+3 | — | 10m 03s | |
| 3/4/26 | ![]() Vita ya Iran: Afrika imejipangaje kukabiliana na athari za kiuchumi✨ | economicsAfrica+3 | — | — | Iran | Iran conflicteconomic effects+3 | — | 10m 03s | |
| 2/25/26 | ![]() Ushirikishwaji wa wanawake katika sekta za kiuchumi chanzo cha ukuaji wa uchumi✨ | women empowermenteconomic growth+3 | — | — | sheria borahuku mataifa+2 | World Bankgender equality+6 | — | 10m 01s | |
Want analysis for the episodes below?Free for Pro Submit a request, we'll have your selected episodes analyzed within an hour. Free, at no cost to you, for Pro users. | |||||||||
| 2/18/26 | ![]() Ushirikiano wa kikanda hatarini: Nakisi ya bajeti yaibua maswali mapya✨ | regional cooperationfinancial crisis+3 | — | — | Ushirikiano wa kikanda hatariniKenya | financial crisisEast African Community+3 | — | 9m 47s | |
| 2/5/26 | ![]() Dubai: Viongozi wa dunia waangazia mageuzi ya sera, ubunifu na mifumo mipya ya utawala✨ | global governancedigital transformation+3 | — | — | Dubai | AIdigital economy+3 | — | 9m 59s | |
| 1/21/26 | ![]() Ushindani wa mataifa makubwa na mustakabali wa uchumi wa Dunia✨ | economic competitionglobal economy+3 | — | — | MarekaniChina+3 | MarekaniChina+6 | — | 10m 01s | |
| 1/14/26 | ![]() Kenya Kuwa Singapore ya Afrika: Ndoto au Uhalisia?✨ | economypolitics+3 | — | — | KenyaSingapore+1 | KenyaSingapore+3 | — | 9m 55s | |
| 1/7/26 | ![]() Kutoka Ufugaji wa Mifugo hadi Samaki: Mabadiliko ya Kiuchumi Kajiado✨ | livestock farmingfish farming+3 | — | — | mojawapo ni | Maasai communitylivestock+3 | — | 9m 58s | |
| 12/24/25 | ![]() Sherehe za mwisho wa mwaka zisikuache bila pesa, fahamu mbinu za kudhibiti matumizi yako. | Tunapofika mwisho wa mwaka, jamii huingia katika kipindi cha sikukuu kama krismasi na mwaka mpya, ni wakati wa furaha, sherehe na kukutana na familia, lakini pia ni kipindi ambacho matumizi ya fedha huongezeka, watu wengi hujikuta wakitumia zaidi ya uwezo wao na mipango kusimama, tunajadili namna gani unaweza kuwa na nidhamu ya matumizi ya mwisho wa mwaka iwe kwa muajiriwa, mjasiriamali au mfanyabiashara. | — | ||||||
| 12/3/25 | ![]() Ripoti ya Oxfam-Kenya: Uchumi unakua, lakini Wakenya wengi ni masikini, kwa nini? | Msikilizaji juma lililopita shirika la kimataifa la kupambana na umasikini, OXFAM nchini Kenya, ilichapisha ripoti inayoonesha kuongezeka kwa pengo la usawa. Kwa mujibu wa shirika hilo, pengo la walionacho na wasio nacho linaendelea kuongezeka ambapo matajiri 125 wa Kenya kwa sasa wana utajiri wa zaidi ya watu milioni 42 raia wa Kenya. Tunajiuliza, kwa nini ukuaji wa uchumi hauwahusu watu wengi? | — | ||||||
| 11/26/25 | ![]() Mapinduzi ya Elimu Bondo: Jinsi Teknolojia Inavyowawezesha Wasichana Kuandika Kesho Yao | Katika maeneo mengi nchini, hasa magharibi mwa Kenya, wasichana wengi wanaojikuta wakisuasua katika mitihani ya sekondari huishia kwenye ndoa za mapema na mimba za utotoni—mazingira yanayozima ndoto zao kabla hata hazijachanua. Lakini safari hii, upepo wa mabadiliko umeanza kuvuma. Serikali za majimbo, kwa ushirikiano na Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD), zimeanzisha mpango wa mafunzo ya kitaaluma yanaotumia teknolojia ya kisasa, Lengo likiwa ni moja tu, kuwainua wasichana hawa. | — | ||||||
| 11/19/25 | ![]() Mandale: Kinywaji Cha Asili Kinachowainua Wanawake wa Goma | Msikilizaji katika uhalisia mgumu wa maisha ya wakazi wa Goma, hususan baada ya mji huo kuangukia mikononi mwa waasi wa AFC/M23, imeibuka hadithi ya kipekee ya uvumilivu na ubunifu wa wanawake. Kati ya changamoto za ukosefu wa ajira na kuyumba kwa uchumi wa familia, wanawake kwenye mji huo wamegeukia ujuzi wa jadi wa kutengenezaji wa kinywaji cha asili kinachoitwa Mandale. | — | ||||||
Showing 19 of 19
Sponsor Intelligence
Sign in to see which brands sponsor this podcast, their ad offers, and promo codes.
