
Insights from recent episode analysis
Audience Interest
Podcast Focus
Publishing Consistency
Platform Reach
Insights are generated by CastFox AI using publicly available data, episode content, and proprietary models.
Most discussed topics
Brands & references
Total monthly reach
Estimated from 1 chart position in 1 market.
By chart position
- 🇰🇪KE · News#122500 to 3K
- Per-Episode Audience
Est. listeners per new episode within ~30 days
150 to 900🎙 Daily cadence·24 episodes·Last published yesterday - Monthly Reach
Unique listeners across all episodes (30 days)
500 to 3K🇰🇪100% - Active Followers
Loyal subscribers who consistently listen
200 to 1.2K
Market Insights
Platform Distribution
Reach across major podcast platforms, updated hourly
Total Followers
—
Total Plays
—
Total Reviews
—
* Data sourced directly from platform APIs and aggregated hourly across all major podcast directories.
On the show
Recent episodes
Waziri wa Uingereza kuondoka afisini Septemba
Jun 23, 2026
Unknown duration
Msongo wa mawazo changamoto kwa wanaume
Jun 22, 2026
Unknown duration
Maendeleo ya timu za Afrika kwenye mechi kuwania kombe la dunia 2026
Jun 19, 2026
Unknown duration
Je ,Haki za mtoto wa Kiafrika zinaheshimiwa au ni maadhimisho tu ?
Jun 19, 2026
Unknown duration
Marekani na Iran zimekubaliana kufikia makubaliano ya kukomesha vita
Jun 16, 2026
Unknown duration
Social Links & Contact
Official channels & resources
Official Website
Login
RSS Feed
Login
| Date | Episode | Topics | Guests | Brands | Places | Keywords | Sponsor | Length | |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 6/23/26 | ![]() Waziri wa Uingereza kuondoka afisini Septemba | Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer ametangaza kujiuzulu baada ya shinikizo kutoka ndani ya chama chake na kupungua kwa uungwaji mkono wa raia. Je, viongozi wanapaswa kujiuzulu wanapopoteza uungwaji mkono wa wananchi? Skiza makala ya maoni ya waskilizaji. | — | ||||||
| 6/22/26 | ![]() Msongo wa mawazo changamoto kwa wanaume | Ulimwengu umeadhimisha wiki ya afya ya akili kwa wanaume, wataalamu wanaonya kuwa msongo wa mawazo na matumizi ya dawa za kulevya vinachangia matatizo ya afya ya akili miongoni mwa wanaume. Unafikiri kwa nini wanaume wengi huumia kimya bila kutafuta msaada? Skiza maoni ya mskilizaji. | — | ||||||
| 6/19/26 | ![]() Maendeleo ya timu za Afrika kwenye mechi kuwania kombe la dunia 2026 | No description provided. | — | ||||||
| 6/19/26 | ![]() Je ,Haki za mtoto wa Kiafrika zinaheshimiwa au ni maadhimisho tu ? | No description provided. | — | ||||||
| 6/16/26 | ![]() Marekani na Iran zimekubaliana kufikia makubaliano ya kukomesha vita | Rais Donald Trump anasema Mlango Bahari wa Hormuz pia utafunguliwa tena hivi karibuni.Mkataba wa amani, unatarajiwa kutiwa saini siku ya Ijumaa, wiki hii nchini Uswizi | — | ||||||
| 6/15/26 | ![]() Siku ya kimataifa ya watu wanaoishi na Albinism au Ualbino, kuhamasisha haki, usalama na ustawi wao | Licha ya jitihada mbalimbali, bado watu wenye ualbino wanabaguliwa kwenye baadhi ya jamii na hata kuuawa kwa imani za kishirikina. | — | ||||||
| 6/11/26 | ![]() Kipute cha kombe la dunia kinaanza rasmi | Kipute cha kombe la dunia kinaanza leo, huku Afrika Kusini ikipambana dhidi ya Mexico mwenyeji. Je, unazungumziaje timu za Afrika zinazoshiriki mashindano ya huu? Skiza makala haya. | — | ||||||
| 6/10/26 | ![]() Marekani : Yamzuia refa wa Somalia kuingia nchini humo | Mwamuzi kutoka nchini Somalia Omar Abdulkadir, amezuiwa kuingia nchini Marekani, alikokuwa ameteuliwa na Shirikisho la soka duniani, FIFA kuchezesha mechi za kombe la dunia, kutokana na kile utawala wa rais Trump umemhusisha na maswala ya ugaidi Skiza makala haya kufahamu maoni ya mskilizaji wetu. | — | ||||||
| 6/9/26 | ![]() Kenya : Mahakama kuu yaidhinisha uamuzi wa Rigathi kuondolewa afisini | Jopo la majaji watatu nchini Kenya limeidhinisha hatua ya bunge la kumuondoa afisini aliyekuwa naibu rais, Rigathi Gachagua kwa kile walichosema, katiba ilifuatwa. Je, unaunga mkono uamuzi wa mahakama kuhusu Rigathi Gachagua na kwa nini? Skiza maoni ya baadhi ya waskilizaji wetu. | — | ||||||
| 6/8/26 | ![]() Uchafuzi wa mazingira baharini ni kikwazo | Leo dunia inaadhimisha siku ya kimataifa ya Bahari, siku inayolenga kuhamasisha umuhimu wa bahari katika maisha ya binadamu na mazingira. Hata hivyo, bahari zinakabiliwa na changamoto kubwa ikiwemo uchafuzi wa plastiki, mabadiliko ya tabianchi na uvuvi haramu, katika siku hii tunakuuliza. Unadhani hatua gani zinazopaswa kuchukuliwa ili kupunguza uchafuzi wa bahari? Skiza makala haya kufahamu maoni ya waskilizaji wetu. | — | ||||||
Want analysis for the episodes below?Free for Pro Submit a request, we'll have your selected episodes analyzed within an hour. Free, at no cost to you, for Pro users. | |||||||||
| 6/4/26 | ![]() Maadhimisho ya siku ya mazingira duniani yana umuhimu gani nchini mwako | Karibu kwenye kipindi cha habari Rafiki ,mada ikiwa kuhusu maadhimisho ya siku ya mazingira duniani ambayo yatafanyika Ijumaa,huku kauli mbiu ikiwa kuchukua hatua dhidi ya mabadiliko ya hali ya hewa. Tumekuuliza, serikali ya nchi yako inafanya vya kutosha kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa ? Na je , sekta binafsi na wananchi wanapaswa kufanya nini sasa,ili kuimarisha mazingira,,karibu tuandamane pamoja . | — | ||||||
| 5/22/26 | ![]() Mada huru kila Ijumaa ndani ya rfi Kiswahili | Kila Ijumaa ndani rfi Kiswahili unapata nafasi kuchangia mada yoyote. skiza makala | — | ||||||
| 5/22/26 | ![]() Kenya : msimamo wa kisiasa yazua balaa | Nchini Kenya, msimamo ya kisiasa ya baadhi ya raia kisiasa yazidi kuibua uhasama. Skiza makala | — | ||||||
| 5/20/26 | ![]() Maoni: Tume mpya iliyoundwa Tanzania italeta majibu ya vurugu za uchaguzi wa 2025? | Katika makala ya Habari Rafiki leo tunaangazia hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania, kuunda tume maalumu ya jinai itakayochunguza matukio ya vurugu zilizotokea wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29 mwaka uliopita, ili kubaini vitendo vilivyofanywa na kuwataja waliohusika ili waajibishwe kisheria | — | ||||||
| 5/20/26 | ![]() Wakenya walazimika kutembea baada ya magari ya uchukuzi wa umma kugoma. | Siku ya Jumatatu uchukuzi ulitatizwa nchini Kenya kufuatia mgomo wa wahudumu wa magari ya uchukuzi wa umma kupinga ongezeko la bei ya mafuta. Hii ni baada ya serikali kupandisha Lita moja ya Petroli kufikia Shilingi za nchi hiyo 214 huku ile ya Dizeli ikifikia Shilingi 242. Tumemuuliza mskilizaji wetu anzungumziaaje kilichotokea nchini Kenya na nchini mwake hali iko je kuhusu bei ya mafuta. | — | ||||||
| 5/20/26 | ![]() Umejiandaa aje kujikinga na mlipuko mpya wa virusi hatari vya Ebola? | Shirika la afya duniani limetangaza hali ya dharura ya kiafya duniani kutokana na mlipuko wa virusi vya Ebola mashariki mwa DRC, ikizitaka nchi kuchukua tahadhari kufuatia hofu ya ugonjwa huo kusambaa zaidi. Tumemuuliza mskilizaji wa RFI Kiswahili akiwa DRC na kwenye ukanda wa Afrika Mashariki anachukua hatua gani kujikinga. | — | ||||||
| 5/16/26 | ![]() Mada huru kuhusu matukio ya wiki likiwemo kongamano la Africa Forward | No description provided. | — | ||||||
| 5/16/26 | ![]() Rais wa Uganda Yoweri Museveni aapishwa kuongoza muhula wa saba | No description provided. | — | ||||||
| 5/16/26 | ![]() Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa hatojiuzulu kufuatia kesi ya ufisadi | No description provided. | — | ||||||
| 5/16/26 | ![]() Ufaransa yatangaza uwekezaji wa thamani ya Yuro milioni 23 barani Afrika | No description provided. | — | ||||||
| 5/11/26 | ![]() Mkutano wa Africa Forward watoa kipau mbele kwa masuala ya vijana | Mkutano wa Afrika forward unaoongozwa na Ufaransa umeanza leo jijini Nairobi ambapo karibia marais 30 ,kutoka barani Afrika wanatarajiwa kuudhuria ili kujadili ushirikiano katika sekta ya uchumi wa buluu, mazingira ,afya na kilimo. Mkutano huu umetoa kipaumbele ka ajenda zinazowahusu vijana, na hasa matumizi ya teknolojia, akili unde au AI na namna vijana wanaweza kukumbatia fursa katika sekta hizo. | — | ||||||
| 5/8/26 | ![]() Sheria mpya ya Uganda kukabili wageni wanaoingilia masuala yake ya ndani | Sheria kama hiyo pia inatumika na Urusi, inakosolewa na wanaharakati wa haki za kibinadamu huku wapinzani wakisema inawalenga, kwa sababu ya kukosoa utawala wa rais Ypweri Museveni. Unazungumziaje sheria hii mpya nchini Uganda ? | — | ||||||
| 5/8/26 | ![]() Maoni yako kuhusu kauli ya rais Samia kuhusu kukabili vijana wa Gen Z | Rais Samia Suluhu Hassan, anataka Kenya na nchi yake ya Tanzania kushirikiana ili kukabili uanaharakati wa 'kuvuka mipaka' kutoka kwa vijana wa Gen Z ambao ameelezea unatishia amani na usalama wa nchi nchi za Afrika Mashariki. Unazungumziaje kauli hii ya rais Samia? Unadhani ni sahihi kwa vijana kuadhibiwa kwa kushinikiza mabadiliko kwenye nchi zao? | — | ||||||
| 5/8/26 | ![]() Ziara ya Rasi William Ruto nchini Tanzania na makubaliano baina ya nchi hizo | Kenya na Tanzania zimekubaliana kuondoa vikwazo vyote visivyo vya kikodi vya kibiashara, ili kuimarisha ushirikiano wa kibiashara. Unaamini yaliyokubaliwa kati ya nchi hizo mbili yatatekelezwa ? | — | ||||||
| 4/21/26 | ![]() Maandamano ya vijana wa Gen Z nchini Kenya kulalamikia kupanda kwa bei ya mafuta✨ | youth activismfuel prices+3 | — | — | Kenya | Maandamanovijana wa Gen Z+3 | — | 9m 33s | |
Showing 25 of 24
Sponsor Intelligence
Sign in to see which brands sponsor this podcast, their ad offers, and promo codes.
Chart Positions
1 placement across 1 market.
Chart Positions
1 placement across 1 market.
