Human Right Watch : Haki zinakandamizwa pembe ya Africa

Human Right Watch : Haki zinakandamizwa pembe ya Africa

February 9, 2026 · 10 min

About this episode

This episode discusses a Human Rights Watch report on the alarming human rights situation in the Horn of Africa.

Makala haya yanaangazia ripoti ya Human Rights Watch iliyochapishwa tarehe 4 Februari 2026, inayozungumzia hali ya kutisha ya haki za binadamu katika eneo la Pembe ya Africa. Ripoti hiyo inaonyesha kuwa raia wa Sudan , Sudan Kusini na Ethiopia ndio wanaobeba mzigo mkubwa wa vita vya silaha vinavyoendeshwa kwa ukatili, ambapo pande zinazopigana mara nyingi hulenga raia kimakusudi. Human Rights Watch inasema mashambulizi haya dhidi ya raia yamekuwa jambo la kawaida, huku wahusika wakikosa kuwajibishwa. Kufahamu mengi skiza makala haya.

More episodes of Jua Haki Zako

Explore listener stats, chart rankings, contacts and more on the Jua Haki Zako podcast page.