
Insights from recent episode analysis
Audience Interest
Podcast Focus
Publishing Consistency
Platform Reach
Insights are generated by CastFox AI using publicly available data, episode content, and proprietary models.
Most discussed topics
Brands & references
Est. Listeners
Insufficient chart data. Estimates will improve as the show charts.
- Per-Episode Audience
Est. listeners per new episode within ~30 days
N/A🎙 ~2x weekly·23 episodes·Last published 4d ago - Monthly Reach
Unique listeners across all episodes (30 days)
N/A - Active Followers
Loyal subscribers who consistently listen
N/A
Market Insights
Platform Distribution
Reach across major podcast platforms, updated hourly
Total Followers
—
Total Plays
—
Total Reviews
—
* Data sourced directly from platform APIs and aggregated hourly across all major podcast directories.
On the show
From 10 epsHost
Recent guests
Recent episodes
Wiki ya kwanza Kombe la Dunia 2026. Matokeo na Matukio yaliyojiri
Jun 20, 2026
Unknown duration
Kombe la Dunia laanza likitatizika kuwasha msisimko Marekani, Mexico na Canada
Jun 13, 2026
Unknown duration
Siku Tano tu kuelekea Kombe la Dunia: Mambo muhimu ya kufahamu
Jun 6, 2026
Unknown duration
Arsenal yashinda ubingwa wa Uingereza baada ya miaka 22, Fainali za BAL zikianza
May 23, 2026
Unknown duration
Michezo kwenye mkutano wa Africa Forward Summit, Ghana yakosolewa mpangilio duni
May 16, 2026
Unknown duration
Social Links & Contact
Official channels & resources
Official Website
Login
RSS Feed
Login
| Date | Episode | Topics | Guests | Brands | Places | Keywords | Sponsor | Length | |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 6/20/26 | ![]() Wiki ya kwanza Kombe la Dunia 2026. Matokeo na Matukio yaliyojiri | Leo tumeangazia kwa undani matukio na matokeo yote ya wiki ya kwanza michuano ya Kombe la Dunia 2026 - Mbappe, Messi waweka historia wakati Cape Verde na DRC zikihangaisha miamba wa soka wa ulaya, Tunisia yamfuta kazi kocha, uchambuzi wa mechi za leo. Aidha ni mwaka mmoja kuelekea Kombe la Mataifa ya Africa 2027, matokeo ya tenisi kombe la Davis Cup, Police fc ya Rwanda yamfuta kazi kocha wake, matokeo ya Cecafa U17 kwa kina dada pamoja na tetesi za uhamisho ulaya. | — | ||||||
| 6/13/26 | ![]() Kombe la Dunia laanza likitatizika kuwasha msisimko Marekani, Mexico na Canada | Tumeangazia Kombe la Dunia 2026 kuanza kwa vikwazo kadhaa, raia wa Afrika waiunga mkono Mexico dhidi ya Afrika Kusini, uchambuzi wa mechi ya leo Brazili dhidi ya Morocco, DRC wakijiandaa kupambana na Ureno wiki ijayo, maandalizi ya mbio za Kigali Marathon zakamilika, klabu ya Gor Mahia nchini Kenya yaamrishwa kufanya uchaguzi upya, | — | ||||||
| 6/6/26 | ![]() Siku Tano tu kuelekea Kombe la Dunia: Mambo muhimu ya kufahamu | Tuliyokuandalia leo ni mambo muhimu ya kufahamu kuelekea Kombe la Dunia, timu ya Iran na mwamuzi wa Somalia hatimaye wapokea visa zao, namna mataifa ya Afrika yamecheza kwenye mechi za kirafiki kuelekea Kombe la Dunia, Riquelme na Florentino kupambania urais wa Real Madrid, Kenya kuandaa Davis Cup, kocha wa Kenya ajitetea baada ya sare dhidi ya Lesotho, tuzo za Ligi Kuu Kenya, kocha Flaurent Ibenge asalia Azam, Tanzania wavuna shaba kwenye fainali ya Afcon U17, Kenya yafuzu voliboli ya Afrika. | — | ||||||
| 5/23/26 | ![]() Arsenal yashinda ubingwa wa Uingereza baada ya miaka 22, Fainali za BAL zikianza | Leo tumeangazia Arsenal kushinda ubingwa wa Ligi Kuu baada ya miaka 22, kocha wa Uingereza Tuchel azomewa kuwaacha nje wachezaji kadhaa, kocha wa DRC Desabre ataja kikosi cha Kombe la Dunia, Aston Villa yashinda Kombe la Europa, Droo ya kufuzu michuano ya AFCON 2027 yakamilika huku AFCON U17 ikiendelea, fainali za BAL zaanza Kigali, Kipchoge kukimbia marathon ya kwanza Afrika, Motsengo Omba ashinda urais wa Fecofa, raundi ya pili kufuzu Kombe la Dunia la wasichana chini ya miaka 17 yaanza. | — | ||||||
| 5/16/26 | ![]() Michezo kwenye mkutano wa Africa Forward Summit, Ghana yakosolewa mpangilio duni | Leo tunaangazia baadhi ya matukio ya michezo yaliyozungumziwa kwenye mkutano wa Africa Forward Summit uliokamilika hiki hii, uchambuzi wa Ghana kukosolewa kuandaa mashindano duni ya Afrika ya riadha, Al Hilal ya Sudan yatwaa ubingwa wa soka Rwanda, Motsengo Omba akizindua nguzo zake tano za uongozi wa Fecofa, fainali ya Kombe la Shirikisho, Afcon U17 yaanza huko Morocco, mataifa yaanza kuzindua vikosi vyao kuelekea Kombe la Dunia, PSG yashinda wa 14 huku Carrick akikaribia kusaini mkataba. | — | ||||||
| 5/9/26 | ![]() Ni kwa nini Young Africans imemfuta kazi kocha Pedro Goncalves? | Tuliyokuandalia leo ni kufutwa kazi kwa kocha wa Yanga Pedro Goncalves, wawaniaji wengine wawili wajiondoa uchaguzi wa urais DRC, mashindano ya magari ya Africa yangoa nanga nchini Uganda, fainali ya Kombe la Shirikisho mkondo wa kwanza kupigwa leo usiku, mechi za kufuzu Kombe la Dunia la wasichana chini ya miaka 20, FIFA imetoa orodha ya wasanii wa kutumbuiza mechi za ufunguzi Kombe la Dunia, Arsenal imefika fainali ya Uefa baada ya miaka 20 huku IOC ikitoa marufuku ya Belarus. | — | ||||||
| 4/11/26 | ![]() FIFA Series: Kenya ni mwenyeji wa michuano hii ya kwanza kabisa ya kina dada✨ | FIFA Serieswomen's sports+3 | — | — | KenyaSenegal+1 | FIFA SeriesKenya+6 | — | 23m 57s | |
| 4/4/26 | ![]() DR Congo wafuzu Kombe la Dunia, Wanyama astaafu soka, Ghana yafuta kocha✨ | footballsports news+3 | Felly Mulumba | Tigers na Petro de LuandaSpurs | DR CongoWanyama astaafu+6 | DR CongoWorld Cup qualification+8 | — | 23m 54s | |
| 3/28/26 | ![]() Senegal yakataa rufaa rasmi, msimu mpya wa BAL waanza, FIFA Series yashika moto✨ | sportsfootball+3 | — | CAFIOC | SenegalKenya+3 | Senegal appealCAF report+8 | — | 23m 48s | |
| 3/21/26 | ![]() Senegal yavuliwa ubingwa wa Afrika, Kenya na Ufaransa zashirikiana kwenye tenisi✨ | African footballtennis+3 | — | FIFAYouTube+1 | SenegalKenya+3 | CafAfcon 2027+3 | — | 24m 02s | |
Want analysis for the episodes below?Free for Pro Submit a request, we'll have your selected episodes analyzed within an hour. Free, at no cost to you, for Pro users. | |||||||||
| 3/14/26 | ![]() Mashindano ya dunia ya kukimbiza Magari-Kenya Safari Rally yapamba moto Naivasha✨ | sportsautomobile racing+3 | — | Kenya Safari Rally | Mashindanodunia+2 | Kenya Safari Rallycar racing+3 | — | 20m 41s | |
| 3/7/26 | ![]() Regragui aondoka Morocco huku CAF ikiahirisha AFCON ya kina dada✨ | footballcoaching changes+3 | — | CAFAFCON+1 | Regraguiaondoka+5 | Walid RegraguiBurkina Faso new coach+5 | — | 24m 07s | |
| 2/21/26 | ![]() Gofu: Mkenya Njoroge Kibugu afuzu mchujo wa Magical Kenya Open✨ | golfsports events+3 | — | TFFFifa | — | Njoroge KibuguMagical Kenya Open+6 | — | 23m 56s | |
| 2/14/26 | ![]() Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika 2027 zitafanyika Juni-Julai✨ | AFCONsports events+3 | — | CAF | Ghana | AFCON 2027CAF+6 | — | 23m 51s | |
| 2/7/26 | ![]() Yanga yalenga ushindi muhimu kukaribia robo fainali michuano ya klabu bingwa✨ | African club footballsports events+3 | — | — | klabu bingwaDR Congo | YangaFAR Rabat+6 | — | 23m 53s | |
| 1/31/26 | ![]() Uamuzi wa CAF kwenye fainali ya Afcon 2025: Udhibiti wa Haki au Uharibifu?✨ | CAF decisionsAFCON 2025+3 | — | CAF | Uamuzi waUdhibiti wa Haki au Uharibifu+1 | CAF rulingAFCON 2025+8 | — | 23m 48s | |
| 1/24/26 | ![]() CAF: Michuano ya klabu bingwa Afrika imerejea raundi ya tatu ya makundi | Leo kwenye kipindi tumeangazia uchambuzi wa mashindano ya AFCON 2025, vilabu vya Afrika Mashariki vinatafuta tiketi ya mchujo mechi za klabu bingwa, Kinshasa kuandaa Kombe la Mataifa ya Afrika ya Voliboli mwaka huu, wachezaji kadhaa wa ligi ya NBA waonesha nia kuiwakilisha Nigeria kwenye Olimpiki ya 2028, mashindano ya Afrika ya handboli inayoendelea Kigali, Uganda yapata kocha mpya wa basketboli, mfumo mpya wa mashabiki kupata visa mapema kuelekea Kombe la Dunia wafunguliwa rasmi | — | ||||||
| 1/17/26 | ![]() AFCON 2025: Senegal, Morocco zatinga fainali. Je, nusu fainali ziliendaje? | Leo tumeangazia pakubwa uchambuzi wa matukio na matokeo ya mechi za nusu fainali mechi za Kombe la Mataifa ya Afrika 2025 na mechi ya mshindi wa tatu leo usiku, hotuba ya rais wa CAF Patrice Motsepe kabla ya fainali, Droo ya mashindano ya WAFCON ya kina dada ya mwaka huu, Rwanda kuwa mwenyeji wa michuano ya Afrika ya Handboli, Rwanda na Burkina Faso zafuta kazi makocha wao. | — | ||||||
| 1/10/26 | ![]() AFCON 2025: Mbio za kuwania kufuzu kwa nusu fainali zinazidi kupamba moto | Leo tutakufahamisha matukio yote kwenye raundi ya 16 bora, uchambuzi wa mechi haswa kuondolewa kwa DRC na Tanzania walivyolakiwa kishujaa nyumbani Dar es Salaam baada ya kutoka Morocco na uchambuzi wa mechi za robo fainali za jana na leo. Morocco na Senegal washajikatia tiketi ya nusu fainali. Algeria dhidi ya Nigeria na Misri dhidi ya Ivory Coast. | — | ||||||
| 1/4/26 | ![]() Uchambuzi wa Mada: Je, AFCON 2025 inatoa msisimko kama mashindano yaliyopita? | Leo tunajadili kwa undani kauli ya kocha wa Afrika Kusini, Hugo Broos kuwa michuano ya mwaka huu haina mvuto na msisimko kama Afcon zilizopita. Uchambuzi wa mechi za jana na leo kwenye hatua ya 16 bora - Tanzania vs Morocco, Afrika Kusini vs Cameroon, DRC vs Algeria. Hatua ya serikali ya Gabon kuvunjilia mbali timu ya Gabon huku marais wa Msumbiji na Benin wakitoa ahadi za pesa kwa timu zao. Morocco kuandaa michuano ya Kombe la Dunia la Vilabu 2029 nayo Ethiopia ikiwania kuandaa Afcon ya 2028. | — | ||||||
| 1/3/26 | ![]() AFCON 2025: Mtazamo wa hatua ya mtoano, timu 16 zitawania tiketi ya fainali | Leo tumeangazia kwa undani matokeo na matukio ya hatua ya makundi iliyokamilika kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika inayoendelea Morocco, uchambuzi wa hatua ya 16 bora - nani atafuzu robo fainali?, tathmini ya hatua ya serikali ya Gabon kuvunja kabisa timu ya taifa ya Gabon, ahadi za pesa kutoka kwa marais kadhaa Afrika kwa timu zao kuelekea robo fainali, usajili wa Rayon Sport, kwa nini Maresca aliondoka Chelsea?, dereva wa Anthony Joshua afunguliwa mashtaka baada ya ajali Nigeria. | — | ||||||
| 12/21/25 | ![]() AFCON 2025: Morocco dhidi ya Comoros kufungua mashindano leo usiku | Leo tunaangazia pakubwa kuanza kwa mashindano ya AFCON 2025; tunachambua mechi ya ufunguzi kati ya Morocco na Comoros, mjadala kuhusu mageuzi katika michuano hii, namna timu zilivyotua nchini Morocco kwa kuvalia mavazi ya kitamaduni, Morocco wapo kwenye shinikizo ya kunyakua ubingwa kwa kuwa mwenyeji lakini pia ubashiri wa mechi ya ufunguzi na atakayebeba taji la mwaka huu. | — | ||||||
| 12/20/25 | ![]() AFCON 2025: Mashindano kufanyika kila baada ya miaka minne baada ya 2028 | Usiku mmoja kabla ya kuanza kwa michuano ya Afcon 2025 tunakufahamisha mambo yote unayostahili kujua pamoja na mabadiliko ya michuano hii kuendelea mbele, michezo ya chipukizi ya Afrika yatamatika Angola, Rayon Sports na Simba zapata makocha wapya, mkenya David Munyua aweka historia katika mchezo wa darts duniani, Anthony Joshua amlaza Jake Paul kupitia knockout, droo ya nusu fainali ya kombe la Carabao. | — | ||||||
Showing 23 of 23
Pitch Fit is a Pro feature
See how bookable this show is for guests, which brands already advertise, the per-episode ad value, and the best-fit guest and sponsor profile. The numbers are blurred on the free plan.
How readily this show books outside guests like you.
How proven this show is for host-read sponsorships.
For Guests
ProFor Advertisers
ProUpgrade to Pro to unlock guest cadence, sponsor categories, fit scores, and per-episode ad value for this show.
