
Insights from recent episode analysis
Audience Interest
Podcast Focus
Publishing Consistency
Platform Reach
Insights are generated by CastFox AI using publicly available data, episode content, and proprietary models.
Most discussed topics
Brands & references
Total monthly reach
Estimated from 1 chart position in 1 market.
By chart position
- 🇰🇪KE · Science#573K to 10K
- Per-Episode Audience
Est. listeners per new episode within ~30 days
1.5K to 5K🎙 ~2x weekly·24 episodes·Last published 1w ago - Monthly Reach
Unique listeners across all episodes (30 days)
3K to 10K🇰🇪100% - Active Followers
Loyal subscribers who consistently listen
1.2K to 4K
Market Insights
Platform Distribution
Reach across major podcast platforms, updated hourly
Total Followers
—
Total Plays
—
Total Reviews
—
* Data sourced directly from platform APIs and aggregated hourly across all major podcast directories.
On the show
Recent episodes
Mjadala waibuka kuhusu jinamizi la taka za nguo kwa mazingira
Jun 15, 2026
Unknown duration
Usimamizi endelevu wa taka kwenye mazingira hauwezi kufanikiwa bila mchango wa wakusanyaji taka
Jun 15, 2026
Unknown duration
Kuna haja ya serikali za Afrika kukumbatia mfumo endelevu ya kukabili taka ngumu kwenye mazingira.
Jun 1, 2026
Unknown duration
Kongamano la siku mbili jijini Nairobi latoa wito wa kubadili simulizi kuhusu maeneo ya nyanda za malisho(Rangelands)
May 25, 2026
Unknown duration
Juhudi za kijamii zilivyookoa msitu wa Karura uliokua umegeuka kuwa eneo la uhalifu
May 21, 2026
Unknown duration
Social Links & Contact
Official channels & resources
Official Website
Login
RSS Feed
Login
| Date | Episode | Topics | Guests | Brands | Places | Keywords | Sponsor | Length | |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 6/15/26 | ![]() Mjadala waibuka kuhusu jinamizi la taka za nguo kwa mazingira | Kila wiki, mamilioni ya nguo za mitumba hufika katika masoko kama vile Gikomba jijini Nairobi, Kenya, au Kantamanto mjini Accra, Ghana. Takriban asilimia 40 ya bidhaa hizi zinazoagizwa kutoka nje haziwezi kuvaliwa kabisa, na hivyo kuhamishia mzigo wa udhibiti wa taka za nguo kwa jamii. Nguo nyingi zilitotengenezwa kwa kutumia poliesta na nailoni, huziba njia za maji za mijini, huchafua fuo za bahari, na zinapochomwa, hutoa gesi yenye sumu na kuchafua mazingira. Katika makala ya leo tunaangazia jinsi biashara ya mitumba imegeuka tatizo kubwa la mazingira na kuharibu mifumo ikolojia. | — | ||||||
| 6/15/26 | ![]() Usimamizi endelevu wa taka kwenye mazingira hauwezi kufanikiwa bila mchango wa wakusanyaji taka | Tunawaangazia wadau muhimu katika sekta ya usimamizi wa takan hapa tunazungumzia wakusanyaji taka, ambao mara nyingi mchango wao hupuuzwa nasa katika meza ya maamuzi kuhusu suala hili la cuhafuzi wa taka. | — | ||||||
| 6/1/26 | ![]() Kuna haja ya serikali za Afrika kukumbatia mfumo endelevu ya kukabili taka ngumu kwenye mazingira. | Tatizo la uchafuzi wa mazingira kutokana na taka ngumu, bado ni changamoto katika miji mingi barani Afrika. Hata hivyo, hivi karibuni, kumekuwa na jitihada kwenye baadhi ya mataifa ambapo sasa nchi zimeanza kuwa na sheria na kanuni za kuhakkisha usimamizi endelevu wa taka, kwa kuwahusisha wazalishaji na waagizaji wa bidhaa. | — | ||||||
| 5/25/26 | ![]() Kongamano la siku mbili jijini Nairobi latoa wito wa kubadili simulizi kuhusu maeneo ya nyanda za malisho(Rangelands) | Kwa muda mrefu maeneo ya nyanda za malisho yamekuwa yakitazamwa kama yaliotengwa na yasio na umuhimu, licha ya kuwa na mifumoikolojia muhimu na chanzo cha riziki kwa takriban watu bilioni mbili duniani, Pamoja na kuhifadhi theluthi moja ya hewa ya kaboni duniani. Lakini sasa wadau wa mazingira, watunga sera, watafiti, wataalam na wawakilishi kutoka jamii za wafugaji baranai Afrika sasa wanatoa wito wa maeneo ya nyanda za malisho na jamii za wafugaji kutambuliwa. | — | ||||||
| 5/21/26 | ![]() Juhudi za kijamii zilivyookoa msitu wa Karura uliokua umegeuka kuwa eneo la uhalifu | Nairobi ni mwenyeji wa msitu mkubwa wa mvua ulio salama ndani ya mipaka yake: Hifadhi ya Karura yenye ukubwa wa hekari 1,000 ni mapafu muhimu ya mji mkuu wa Kenya, katika kuchuja uchafuzi wa mazingira kwa mamilioni. Ilikuwa ishara ya ukosefu wa usalama, sasa ni mfano mkuu wa kimataifa wa uhifadhi unaoongozwa na jamii haswa shirika la marafiki wa Karura maarufu Friends of Karura. Hata hivyo, msitu wa Karura unakabiliwa na changamoto za kina za kiikolojia. Miti ya kigeni inayokua haraka, uchafuzi wa mazingira wa mijini, magugu vamizi, na kuingiliwa kwa minajili ya upanuzi wa barabara na ujenzi wa miundombinu. Ili kukabiliana na hili, juhudi kubwa za urejesho zinaendelea. Mpango wa utaratibu wa asilimia 60 unaendelea ili kubadilisha miti isiyo ya asili na spishi za urithi katika kurejesha udongo na bioanuwai. Urejeshaji huu unaoendelea hutumika kama mwongozo wa jinsi miji ya kisasa inaweza kurekebisha urithi wao wa asili. | — | ||||||
| 5/12/26 | ![]() Nchini Colombia, mkutano wa kwanza wa kimataifa kuhusu mafuta ya visukuku | Msikilizaji, juma moja lililopita, mawaziri kutoka karibu mataifa 50 duniani walikutana nchini Colombia kwa mkutano wa mazingira uliolenga kujadili mbinu za mataifa kuachana kikamilifu na nishati zinachafua mazingira ikiwemo gesi na mafuta. Mjadala kuhusu mataifa kuachana na matumizi ya nishati chafu zinazochangia ongezeko la joto duniani, umekuwepo katika mikutano tofauti ya kimataifa ya mazingira, ikiwemo mikutano ya COP inayofanyika kila mwaka. | — | ||||||
| 4/27/26 | ![]() Jamii katika maeneo kame nchini kenya zawezeshwa ili kustahimili athari za mabadiliko ya tabianchi. | Nchini Kenya, mzozo wa rasilimali katika jamii zinazopatikana katika maeneo kame ni changamoto ya muda mrefu, na kumekuwa na jitihada ya mashirika tofauti kuziwezesha jamii hizo kustahimili changamoto zitokanazo na athari za mabadiliko ya tabianchi. Kupitia mradi wa IMARA, jamii ya wafugaji sasa wamegeukia ukulima wa aina tofauti ambao baadhi yao unawadsaidia hata kupata chakula ya mifugo wao. | — | ||||||
| 4/20/26 | ![]() Sera za Mipango miji barani Afrika zinazingatia ustahimilivu wa majanga mijini?✨ | urban planningdisaster resilience+3 | — | — | Mkutano wa pili wa Umoja wa Afrikania ya | African Unionurban growth+5 | — | 10m 02s | |
| 4/10/26 | ![]() Ukulima wa mianzi katika kutunza mazingira ya mito nchini Kenya.✨ | environmentagriculture+3 | — | — | Kenyakurejesha rotuba | bamboosoil erosion+3 | — | 9m 57s | |
| 4/1/26 | ![]() Manufaa ya ardhi oevu ya Ondiri kwa jamii ya kikuyu✨ | environmentbiodiversity+3 | — | — | Kwa mfano | ardhi poevuspishi za viumbe hai+3 | — | 10m 00s | |
Want analysis for the episodes below?Free for Pro Submit a request, we'll have your selected episodes analyzed within an hour. Free, at no cost to you, for Pro users. | |||||||||
| 3/24/26 | ![]() Uhifadhi wa kinamasi cha Ondiri mjini Kikuyu, nchini Kenya✨ | environmentbiodiversity+3 | — | — | Kenya | Ondiri wetlandbiodiversity+3 | — | 9m 59s | |
| 2/24/26 | ![]() Matumizi ya mitego ya wadudu inayotumia sola yaboresha parachichi na mazingira✨ | agriculturesustainable farming+3 | — | — | Kenya | false codling mothsolar energy+3 | — | 10m 05s | |
| 2/17/26 | ![]() Jukumu la redio katika kuelimisha kuhusu mazingira na tabianchi✨ | environmentclimate change+3 | — | — | — | climate crisisenvironmental challenges+3 | — | 10m 11s | |
| 2/15/26 | ![]() Hatau ya Marekani kujiondo kwenye mikataba ya mazingir na tabianchi na athari zake✨ | climate changeinternational agreements+3 | — | UNFCCC | ParisWashington+2 | TrumpParis Agreement+3 | — | 10m 00s | |
| 2/7/26 | ![]() Awamu ya pili Siku ya Kimataifa ya nishati safi 26 01 2026: Biogesi kama moja ya suluhisho✨ | energyenvironment+3 | — | — | — | clean energyKawangware+3 | — | 10m 00s | |
| 1/27/26 | ![]() Siku ya Kimataifa ya nishati safi 26 01 2026: Biogesi kama moja ya suluhisho✨ | energyenvironment+3 | — | — | — | clean energyKawangware+3 | — | 10m 02s | |
| 1/22/26 | ![]() Mfumo wa sola tembezi wanufaisha wakulima maeneo kame nchini Kenya✨ | agriculturetechnology+3 | — | solar irrigation system | KenyaMbeere+2 | solar irrigationGachuriri+3 | — | 10m 01s | |
| 1/18/26 | ![]() Jinsi jamii ya wamasaai wanavyohamia kwenye ufugaji wa samaki baada ya mabadiliko ya tabia nchi | Jamii ya wamaasai ambayo Kwa miaka mingi inategemea mifugo imekuwa ikipata changamoto haswa wakati wa kiangazi. Kiangazi uathiri mifugo kwani ukosefu wa lishe unasababisha wanyama kufa. Hata hivyo Jamii hiyo imebuni mbinu mbadala ya kisasa ya ufugaji samaki. Lakini kutokana na joto jingi linaloshuhudia katika eneo la kajiado, tatizo la kuwakuza samaki hao katika vidimbwi inaonekana wazi wazi kwani wakulima hawana vifaa vya kisasa vya kupima nyuzi joto katika vidimbwi vya samaki. | — | ||||||
| 1/5/26 | ![]() Awamu ya pili: Matukio muhimu ya mazingira na tabianchi mwaka wa 2025 | Katika awamu ya kwanza tuliangazia miaka kumi ya mkataba wa tabianchi wa Paris na ahadi mpya za kitaifa NDCs. Awamu ya pili na mwisho tunaendelea kuangazia mkutano wa tabianchi COP30 uliofanyika jijini Belem, Brazil, pamoja na mkutano wa saba wa kimataifa wa mazingira UNEA-7 uliofanyika jijini Nairobi kati ya Disemba 8 na 12 ùwaka wa 2025. | — | ||||||
| 12/30/25 | ![]() Awamu ya kwanza:Matukio muhimu ya mazingira na tabianchi 2025 | No description provided. | — | ||||||
| 12/26/25 | ![]() Wanaharakati wataka uhifadhi wa msitu wa mvua wa Kongo kupewa kipaumbele | Misitu ya mvua barani Afrika kimsingi imejikita katika Bonde kubwa la Kongo, msitu wa pili kwa ukubwa duniani wa kitropiki, unaohifadhi wanyamapori wa kipekee kama sokwe, na tembo wa msituni, pamoja na maeneo mengine muhimu kama vile Misitu ya Guinea ya Afrika Magharibi, misitu ya Afromontane Mashariki, na misitu ya pwani kutoka Kenya hadi Msumbiji yenye misitu ya kipekee ya kisiwa cha Madagaska. Mifumo hii muhimu ya ikolojia inakabiliwa na vitisho kutoka kwa ukataji miti, kilimo, na kuathiri bioanuwai yao tajiri. Kutokana na vitisho hivi wanaharakati wamepaza sauti za kulindwa kwa misitu ya mvua. | — | ||||||
| 12/19/25 | ![]() Lugha ya kiswahili katika kuimarisha uelewa, uhamasishaji na hatua dhidi ya mabadiliko ya tabianchi | Wakati viongozi wa dunia, wanasayansi na watunga sera wanapokutana katika miji mikuu ya Dunia kujenga hoja kuhusu hatima ya sayari kupitia mikutano ya tabianchi ya Umoja wa Mataifa, Wataalamu wa lugha,, walimu pamoja na wanafunzi waaendeleza mijadala. Kaulimbiu ukiwa ni namna lugha adimu ya kiswahili inavyotumika katika kupambana na mabadiliko ya tabianchi. | — | ||||||
| 12/15/25 | ![]() Kituo cha jambo Redio nchini DRC chapokea tuzo kwenye COP30 | Nchini jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Kituo cha Jambo redio, kimejitwika jukumu la kuelimisha jamii kuhusu masuala ya mazingira na tabianchi, lakini muhimu sana ni haki zao. Katika mkutano wa tabianchi uliotamatika jijini Belem nchini Brazil, kituo cha Jambo Redio kilipokea tuzo kutoka kwa shirikika linalotetea haki za wanawake Women Engage for a Common Future, WECF. Kituo hiki, kimekuwa kikitoa habari kwa jamii ambazo wakati mwingine hazina uwezo wa kupata habari. | — | ||||||
| 12/5/25 | ![]() COP30 uliotamatika jijini Belem, Brazil,, suala la ufadhili wa tabianchi, nishati safi ni miongoni mwa ajenda | Miongoni mwa mambo yalioamuliwa ni kuhamasisha kiasi cha fedha trilioni 1.3 kila mwaka kufikia 2035 wa ajili ya hatua za tabianchi, kuimarisha fedha uhimilivu mara tatu kufikia 2035. Msikilizaji, suala la kuharakisha ufadhili wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi inasalia kuwa kipaumbele cha dharura hasa kwa nchi zinazoendelea ambazo zina athirika pakubwa na janga hilo. | — | ||||||
Showing 24 of 24
Pitch Fit is a Pro feature
See how bookable this show is for guests, which brands already advertise, the per-episode ad value, and the best-fit guest and sponsor profile. The numbers are blurred on the free plan.
How readily this show books outside guests like you.
How proven this show is for host-read sponsorships.
For Guests
ProFor Advertisers
ProUpgrade to Pro to unlock guest cadence, sponsor categories, fit scores, and per-episode ad value for this show.
Chart Positions
1 placement across 1 market.
Chart Positions
1 placement across 1 market.
