
Insights from recent episode analysis
Audience Interest
Podcast Focus
Publishing Consistency
Platform Reach
Insights are generated by CastFox AI using publicly available data, episode content, and proprietary models.
Most discussed topics
Brands & references
Est. Listeners
Insufficient chart data. Estimates will improve as the show charts.
- Per-Episode Audience
Est. listeners per new episode within ~30 days
N/A🎙 Daily cadence·24 episodes·Last published 5d ago - Monthly Reach
Unique listeners across all episodes (30 days)
N/A - Active Followers
Loyal subscribers who consistently listen
N/A
Market Insights
Platform Distribution
Reach across major podcast platforms, updated hourly
Total Followers
—
Total Plays
—
Total Reviews
—
* Data sourced directly from platform APIs and aggregated hourly across all major podcast directories.
On the show
Recent episodes
DRC na kombe la dunia, pia ebola,Gen z kuandamana juni 25 Kenya,hali ya sasa Iran
Jun 20, 2026
Unknown duration
Michuano ya kombe la dunia, hali ya Ebola kwenye ukanda
Jun 13, 2026
Unknown duration
Ufaransa yazindua mnara wa kumbukumbu ya genocide Rwanda, mgomo wa kitaifa DRC
Jun 6, 2026
Unknown duration
Wanafunzi 16 wafa katika moto wa shule ya bweni Kenya, mkuu wa WHO azuru DRC
May 30, 2026
Unknown duration
DRC yashirikiana na WHO, AU kupambana na Ebola, sitisho la mgomo wa madereva Kenya
May 23, 2026
Unknown duration
Social Links & Contact
Official channels & resources
Official Website
Login
RSS Feed
Login
| Date | Episode | Topics | Guests | Brands | Places | Keywords | Sponsor | Length | |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 6/20/26 | ![]() DRC na kombe la dunia, pia ebola,Gen z kuandamana juni 25 Kenya,hali ya sasa Iran | Ni wiki ambayo imegubikwa na michuano ya kombe la dunia 2026 huko Marekani, wiki hii eneo hili la Afrika mashariki na kati lilichangamka baada ya timu ya DRC Leopards kutoka sare na Ureno, virusi vya ebola na juhudi za kikanda kuudhibiti, kukamatwa kwa wakili Erias Lukwago kule Kampala Uganda, lakini pia mashambulio ya kigaidi kwenye uwanja wa ndege wa mjini Niamey huko Niger, na mkutano wa G7 jijini Paris Ufaransa, na hali kadhalika kusainiwa kwa mkataba kati ya Marekani na Iran | — | ||||||
| 6/13/26 | ![]() Michuano ya kombe la dunia, hali ya Ebola kwenye ukanda | Ni wiki ambayo imegubikwa na maandamano kadhaa nchini huko Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, huko Nanyuki nchini Kenya, na watu kutoka nchi kadhaa za Afrika kuihama Afrika Kusini kutokana na ongezeko la chuki dhidi ya wageni, lakini kubwa kabisa wiki hii lililotikisa ulimwengu ni michuano ya kombe la dunia ya mwaka wa 2026 iliyong’oa nanga huko Marekani, Mexico na Canada, bila kuisahau ziara ya Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Leo wa Kumi na nne huko Uhispania.-Naitwa Ruben Lukumbuka, | — | ||||||
| 6/6/26 | ![]() Ufaransa yazindua mnara wa kumbukumbu ya genocide Rwanda, mgomo wa kitaifa DRC | Ufaransa yazindua mnara wa ukumbusho wa mauaji ya kimbari huko Rwanda kwenye jiji la Paris, wapinzani wa DRC juni 03 waliitisha mgomo wa kitaifa, watu zaidi ya kumi waliuawa katika shambulio lililotekelezwa na waasi wa ADF huko Mbau wilaya ya Beni mashariki mwa DRC tunaangazia hotuba ya rais wa Uganda kwa taifa, ziara ya rais wa Tanzania huko Urusi, Afrika kusini kudai kuwa hakuna ubaguzi wala chuki dhidi ya wageni nchini mwake, hali ya Afrika magharibi, na mgogoro wa Ukraine na Urusi | — | ||||||
| 5/30/26 | ![]() Wanafunzi 16 wafa katika moto wa shule ya bweni Kenya, mkuu wa WHO azuru DRC | Wanafunzi kadhaa kupoteza maisha na wengine kujeruhiwa katika shule ya Sekondari ya wasichana Nakuru nchini Kenya, ziara ya mkurugenzi mkuu wa shirika la afya duniani WHO, Uganda kutangaza kuufunga mpaka wake na DRC, hali nchini Sudan, huku Nigeria, kuelekea uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika mwezi Januari mwaka ujao, na pia ripoti zinasema Marekani na Iran zakubaliana kuongeza usitishwaji wa vita kwa siku zingine 60 | — | ||||||
| 5/23/26 | ![]() DRC yashirikiana na WHO, AU kupambana na Ebola, sitisho la mgomo wa madereva Kenya | Habari kuu za dunia wiki hii ni pamoja na kuzuka kwa mlipuko wa ugonjwa hatari wa ebola, DRC na juhudi za kimataifa zinazolenga kupambana na virusi hivyo, mkutano wa Kigali kuhusu nyuklia, mgomo wa madereva wa usafiri wa umma ulivyoathiri wananchi, Kenya, hali nchini Sudan ; lakini pia wahamiaji wasio na vibali wanavyohangaishwa kule Afrika kusini, ziara ya rais wa Urusi kule China ; lakini pia Marekani na Irani zikiendeleza vitisho kati yao | — | ||||||
| 5/16/26 | ![]() Yoweri Museveni aapishwa muhula wa saba Uganda, kongamano la Afrika forward Nairobi | Miongoni mwa habari kuu za dunia zilizopewa uzito juma hili ni pamoja na kuapishwa kwa rais wa Uganda Yoweri Museveni kwa muhula wa saba, kufanyika na kutamatika kwa mkutano wa Afrika na Ufaransa jijini Nairobi nchini Kenya, kauli ya rais wa Rwanda Paul Kagame akikosoa vikwazo vya Marekani kuhusu nchi yake, eneo la Afrika magharibi hususan Nigeria, Ghana na Mali, lakini pia Ziara ya rais wa Marekani Donald Trump huko China. Ungana na Ruben Lukumbuka, kupata mengi zaidi | — | ||||||
| 4/25/26 | ![]() Watu 518 walifariki Tanzania wakati wa vurugu za uchaguzi, mapigano bado yanaendelea DRC | Taarifa kuu wiki hii ni ripoti ya tume ya uchunguzi nchini Tanzania iliyosema watu 518 walifariki wakati wa ghasia za uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka uliopita. Tunaangazia pia taarifa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambapo licha makubaliano ya kusitisha vita kati ya waasi wa M23/AFC na serikali ya Kinshasa, kuendelea kushuhudiwa kwa mapigano ya mara kwa mara. Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Leo wa 14 alikamilisha ziara ya siku kumi barani Afrika juma hili; na katika mzozo wa Mashariki ya kati, Marekani yaongeza muda wa kusitisha mapigano na Iran, hatua sawa ikichukuliwa kati ya Israeli na Lebanon. | — | ||||||
| 4/18/26 | ![]() Kifo tatanishi cha waziri wa habari wa Burundi, Iran na Marekani zatunishiana misuli✨ | Burundi politicsUS-Iran relations+3 | — | AFC/M23 | IranMarekani zatunishiana+5 | Gabby BugagaAFC/M23+6 | — | 20m 08s | |
| 4/11/26 | ![]() Rwanda yaadhimisha miaka 32, mauaji ya kimbari, Israeli yashambulia Lebanon✨ | Rwandagenocide+3 | — | — | LebanonRwanda+7 | Rwandagenocide+8 | — | 20m 15s | |
| 4/4/26 | ![]() Waasi wa ADF waua 40 mashariki mwa DRC, Iran yapuuzi vitisho vya Trump✨ | newspolitics+3 | — | Waasi wa ADF | DRCIran+3 | waasi wa ADFmashariki mwa DRC+6 | — | 20m 15s | |
Want analysis for the episodes below?Free for Pro Submit a request, we'll have your selected episodes analyzed within an hour. Free, at no cost to you, for Pro users. | |||||||||
| 3/28/26 | ![]() UN yasikitishwa na hali mashariki mwa DRC, miili 33 yagunduliwa nchini Kenya✨ | newspolitics+3 | — | — | DRCKenya+2 | UN Security CouncilGoma+5 | — | 20m 09s | |
| 3/26/26 | ![]() Bei ya mafuta yapanda duniani, DRC na Rwanda kupunguza uhasama✨ | oil pricesDRC+3 | — | — | IranGhuba+11 | oil pricesDRC+8 | — | 20m 09s | |
| 3/14/26 | ![]() Mashambulio yaendelea mashariki ya kati na mauaji ya mfanyakazi wa UNICEF DRC✨ | Middle East conflictUNICEF+3 | — | UNICEF DRCUNICEF | Irankuishambulia+6 | mashambulioIran+6 | — | 20m 06s | |
| 3/7/26 | ![]() Jeshi la Rwanda lawekewa vikwazo, Israeli na Marekani zashambulia Iran✨ | RwandaIran+3 | — | — | Jeshi laRwanda+5 | Rwanda army sanctionsU.S. sanctions+4 | — | 20m 02s | |
| 2/28/26 | ![]() Msemaji wa waasi wa M23 aliuawa, Kenya yazindua dawa mpya ya Lenacapavir✨ | newspolitics+3 | — | LenacapavirUN | Kenyamsemaji wa kijeshi wa+4 | M23Willy Ngoma+8 | — | 20m 05s | |
| 2/23/26 | ![]() Ndayishimiye ndiye mwenyekiti mpya wa AU, ujumbe wa EU wazuru mashariki ya DRC✨ | politicsinternational relations+3 | — | EUAFCON | mashariki ya DRCDRC+6 | Évariste NdayishimiyeAfrican Union+6 | — | 20m 07s | |
| 2/14/26 | ![]() Mpasuko ndani ya chama cha ODM, nchini Kenya, huko DRC Monusco kuanza kazi upya✨ | politicsinternational relations+3 | — | — | KenyaDRC+4 | ODM partyRaila Odinga+6 | — | 20m 06s | |
| 2/7/26 | ![]() Rais Paul Kagame atoa kauli nzito kwa jumuia ya kimataifa, maombi ya rais Tshisekedi | Rais wa Rwanda Paul Kagame asema nchi yake haitatizwi na vitisho vya kuwekewa vikwazo na Jumuiya ya Kimataifa, mkutano unaolenga kuimarisha ushirikiano wa kibishara hasa kwenye sekta ya madini kati ya Marekani na nchi za Afrika wafanyika Washington, tumeangazia siasa za Uganda, yaliyojiri nchini Kenya, hali ya kibinadamu yaendelea kuwa mbaya nchini Sudan, rais wa Nigeria Bola Tinubu aagiza wanajeshi kupelekwa katika jimbo la Kwara kulinda amani, mkutano wa Oman kati ya Marekani na Iran. | — | ||||||
| 1/31/26 | ![]() Mwaka mmoja watimia tangu waasi wa M23 waidhibiti Goma na siasa za ukanda huu | Makala hii imeangazia kutomia kwa mwaka mmoja tangu waasi wa AFC/M23 waudhibiti mji wa Goma, Rwanda yaishitaki Uingereza kuhusu mkataba unaohusu wakimbizi, mapigano yashuhudiwa huko Sudan, na katika ukanda wa Afrika magharibi tumeangazia shambulio la watu wenye silaha katika uwanja wa ndege wa Niamey, ECOWAS yaiondolea vikwazo nchi ya Guinea, na tishio la Marekani kuishambulia Iran na mengine zaidi. | — | ||||||
| 1/24/26 | ![]() Jeshi la UPDF kuwaua wafuasi 30 wa chama cha NUP, Gavana Purusi arejea Uvira | Katika makala utasikia polisi wa Uganda waendelea kuwakamata washirika wa karibu wa mwanasiasa wa upinzani Robert Kyagulanyi Ssentamu baada ya uchaguzi wa wiki iliopita, waasi wa AFC/M23 Kujiondoa kwenye mji wa Uvira mashariki mwa DRCongo, nini kinaendelea? Siasa za Kenya, Tanzania na hali ya sasa nchini Sudan; wanajihadi kuwateka waumini zaidi ya mia moja na sitini wakiwa kanisani kule Nigeria, na kutamatika kwa jukwaa la Uchumi duniani huko Davos | — | ||||||
| 1/17/26 | ![]() Watu zaidi ya 10 wauawa katika machafuko Uganda, M23 watangaza kuondoka Uvira | Makala hii imeangazia uchaguzi wa nchini Uganda matokeo yakisubiriwa kutolewa leo, mkutano wa Lome nchini Togo kuhusu mustakabali wa amani ya mashariki mwa DR Congo, hali ya nchini Sudan, Somalia, na ugunduzi wa kaburi la pamoja lenye miili ya wahamiaji 21 huko Libya, hotuba ya rais Macron mbele ya maafisa wa jeshi la nchi yake na kauli ya Marekani kuhusu waandamanaji wa Iran | — | ||||||
| 1/10/26 | ![]() Nini kinaendelea baada ya Maduro kukamatwa? siasa za Tanzania na mengineyo | Miongoni mwa matukio makubwa ni pamoja na kukamatwa kwa aliyekuwa rais wa Venezuela Nicolas Maduro, kubanduliwa kwa timu ya taifa ya DRCongo kwenye michuano ya AFCON 2025, vifo vya wakimbizi wa Congo Kinshasa katika kambi huko Burundi, siasa za Tanzania, Kenya na Uganda kuelekea uchaguzi wa January 15 hali ya nchini Sudan kusini, Rais Faustin Archange Touadera kutangazwa mshindi wa Uchaguzi wa urais hivi karibuni na kauli ya Urusi kuhusu washirika wa Ukraine, Ulaya | — | ||||||
| 1/3/26 | ![]() Ulimwengu waukaribisha mwaka wa 2026 katika mazingira tofauti | Makala hii imeangazia namna dunia ilivyoukaribisha mwaka mpya wa 2026, kampeni za uchaguzi wa mwezi huu nchini Uganda kushika kasi, siasa za Kenya: kiongozi wa chama cha ODM atangaza kuwa atagombea kiti cha urais mwaka ujao, hali ya mashariki mwa DRC, Israeli kulitambua eneo la Somaliland kama taifa huru,nchi kadhaa za Afrika zatangaza kuwazuia raia wa Marekani kuzuru nchi zao na mkutano wa rais wa Ukraine Volodmir Zelensky na rais wa Marekani Donald Trump | — | ||||||
| 12/27/25 | ![]() Matukio makubwa ulimwenguni katika wiki ya mwisho ya mwaka 2025 | Matukio makubwa ya wiki hii ni pamoja na maadhimisho ya sikukuu ya krisimasi duniani mataifa kadhaa yakikabiliwa na shida za kiusalama, kasi ya kampeni za uchaguzi nchini Uganda, waasi wa AFC/M23 na mapigano yao mkowani Kivu kusini mashariki mwa DRC, kesi ya uhaini inayomkabili makamu wa kwanza wa rais wa Sudan Kusini Riek Macxhar kuahirishwa hadi January 06; mashambulizi ya vikosi vya Marekani dhidi ya wanamgambo wa Islamic State nchini Nigeria, na pia hali nchini Ukraine na Cambodia. | — | ||||||
Showing 24 of 24
Pitch Fit is a Pro feature
See how bookable this show is for guests, which brands already advertise, the per-episode ad value, and the best-fit guest and sponsor profile. The numbers are blurred on the free plan.
How readily this show books outside guests like you.
How proven this show is for host-read sponsorships.
For Guests
ProFor Advertisers
ProUpgrade to Pro to unlock guest cadence, sponsor categories, fit scores, and per-episode ad value for this show.
