Insights from recent episode analysis
Audience Interest
Podcast Focus
Publishing Consistency
Platform Reach
Insights are generated by CastFox AI using publicly available data, episode content, and proprietary models.
Est. Listeners
Based on iTunes & Spotify (publisher stats).
- Per-Episode Audience
Est. listeners per new episode within ~30 days
25,001 - 50,000 - Monthly Reach
Unique listeners across all episodes (30 days)
75,001 - 150,000 - Active Followers
Loyal subscribers who consistently listen
40,001 - 100,000
Market Insights
Platform Distribution
Reach across major podcast platforms, updated hourly
Total Followers
—
Total Plays
—
Total Reviews
—
* Data sourced directly from platform APIs and aggregated hourly across all major podcast directories.
On the show
Recent episodes
Taarifa ya Habari: Serikali yakana shutuma kwamba inawalenga wawekezaji wa "mama na baba" katika bajeti mpya
May 5, 2026
Unknown duration
Yaliyojiri Afrika: Viongozi wa Tanzania na Rwanda kuimarisha ushirikiano wa kikanda
May 5, 2026
Unknown duration
Makala leo: Jinsi uchaguzi mdogo wa vijijini unavyoweza ashiria matatizo kwa upinzani wa Australia
May 5, 2026
Unknown duration
Taarifa ya Habari: Akiba itazidi matumizi na kodi katika bajeti ijayo Mweka Hazina aeleza taifa
May 4, 2026
Unknown duration
Australia Yafafanuliwa: Mbinu zakupunguza gharama ya mafuta
May 1, 2026
Unknown duration
Social Links & Contact
Official channels & resources
Official Website
Login
RSS Feed
Login
| Date | Episode | Description | Length | ||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 5/5/26 | Taarifa ya Habari: Serikali yakana shutuma kwamba inawalenga wawekezaji wa "mama na baba" katika bajeti mpya | Jim Chalmers amepuuza mapendekezo kwamba mabadiliko yanayowezekana kwa matumizi hasi ya vifaa au kodi ya faida ya mtaji yatakuwa ni kuvunja ahadi na wapiga kura. | — | ||||||
| 5/5/26 | Yaliyojiri Afrika: Viongozi wa Tanzania na Rwanda kuimarisha ushirikiano wa kikanda | Viongozi wa Tanzania na Rwanda wamekubaliana kuchukua jukumu la kuhakikisha ushirikiano ndani ya Jumuiya ya afrika mashariki unaimarika kwa ajili ya manufaa ya kanda hiyo na watu wake. | — | ||||||
| 5/5/26 | Makala leo: Jinsi uchaguzi mdogo wa vijijini unavyoweza ashiria matatizo kwa upinzani wa Australia | Uchaguzi mdogo ujao wa Mei 9 katika eneo bunge la Farrer jimboni New South Wales, unaweza kuwa na athari kubwa kwa siasa za kitaifa. | — | ||||||
| 5/4/26 | Taarifa ya Habari: Akiba itazidi matumizi na kodi katika bajeti ijayo Mweka Hazina aeleza taifa | Mweka Hazina Jim Chalmers amesema bajeti ya shirikisho ya wiki ijayo itakuwa na kikomo chake kikubwa zaidi, wakati akiba ikitarajiwa kuzidi mabadiliko ya matumizi na kodi. | — | ||||||
| 5/1/26 | Australia Yafafanuliwa: Mbinu zakupunguza gharama ya mafuta | Kuongezeka kwa bei za mafuta kunaweka shinikizo kwenye bajeti za familia kote nchini Australia—na kwa watu wengi, kunabadilisha jinsi wanavyosafiri. | — | ||||||
| 5/1/26 | Taarifa ya Habari: Upinzani waikosoa Serikali ya Madola kwa kuto fanya yakutosha kuimarisha usalama wa taifa | Mbunge wa Upinzani Jonathon Duniam amesema Serikali ya shirikisho lazima iende mbali zaidi ili kuimarisha usalama wa taifa, kufuatia kutolewa kwa ripoti ya muda iliyotolewa na Tume ya Kifalme inayochunguza maswala ya chuki dhidi ya wayahudi na Uwiano wa Kijamii. | — | ||||||
| 5/1/26 | Yaliyojiri Afrika:Vikosi vya ulinzi vya Uganda vya shtumiwa kwa kuwauwa raia na kuwatesa wafuasi wa upinzani | Shirika lakutetea hazi za binadam la Amnesty International, limevishtumu vikosi vya usalama vya Uganda kwa kuwauwa raia, kuwakamata kiholela na kuwatesa wafuasi wa upinzani katika kipindi chaku elekea na baada ya uchaguzi mkuu nchini humo. | — | ||||||
| 5/1/26 | Makala leo: Ripoti mpya yataka mkakati wa kitaifa kuhusu Akili Bandia mahali pa kazi | Ripoti mpya inasema kwamba Australia haina mkakati wa kitaifa wa kudhibiti kuenea kwa akili bandia mahali pa kazi. | — | ||||||
| 4/30/26 | Tips to reduce petrol costs | Fuel in Focus - Australia Yafafanuliwa:Mbinu za kupunguza gharama ya petroli | Mafuta Yalengwa | Rising fuel prices are putting pressure on household budgets across Australia, and for many people, it’s changing the way they travel. So what can you do to reduce your fuel costs without giving up your daily routine? Here are some simple, practical ways to save money on petrol. - Kuongezeka kwa bei za mafuta kunaweka shinikizo kwenye bajeti za familia kote nchini Australia, na kwa watu wengi, kunabadilisha jinsi wanavyosafiri. Kwa hivyo unaweza fanya nini kupunguza gharama zako za mafuta bila kuacha utaratibu wako wa kila siku? Hapa kuna njia rahisi na za vitendo za kuokoa pesa kwa petroli. | — | ||||||
| 4/30/26 | Taarifa ya Habari:Burundi yaanza chanjo dhidi ya saratani ya kizazi | Waziri wa Mambo ya Nje Penny Wong anahimiza China kuanza tena usafirishaji wa mafuta ya ndege yanayo letwa Australia, baada ya mkutano na mwenzake wa China. | — | ||||||
Want analysis for the episodes below?Free for Pro Submit a request, we'll have your selected episodes analyzed within an hour. Free, at no cost to you, for Pro users. | |||||||||
| 4/28/26 | Makala leo: Matendo yakuzomea yachafua huduma za alfajiri | Waaustralia wameadhimisha Siku ya Anzac kote nchini na katika fukwe ya Gallipoli nchini Uturuki kuwakumbuka waliohudumu katika jeshi. | — | ||||||
| 4/28/26 | Wiki Hii Barani Afrika: Nchi za Afrika Mashariki kujenga kiwanda chakusafisha mafuta Tanga, Tanzania | Baadhi ya nchi za Afrika Mashariki zime anza mazungumzo kuhusu, ujenzi wa kiwanda chakusafisha mafuta katika bandari ya Tanga, nchini Tanzania. | — | ||||||
| 4/28/26 | Taarifa ya Habari: Waasi wa Touareg wachukua udhibiti wa mji wa Kidal nchini Mali | Australia itatumia jumla ya dola bilioni 1.2 kutengeneza mamia ya magari ya kijeshi aina ya Bushmaster, na kuboresha magari yanayo lindwa aina ya Hawkei. Dola milioni 750 zimetengwa kutengeneza karibu magari 300 aina ya Bushmaster, ikiwa ni pamoja na magari yaliyo agizwa na serikali ya Uholanzi. | — | ||||||
| 4/28/26 | Makala leo: Mazungumzo kati ya Marekani na Iran yavunjika tena | Mazungumzo kati ya Marekani na Iran yamevunjika baada ya Rais wa Marekani Donald Trump, kutangaza Jumapili kwamba anafuta safari ya mjumbe wake kwenda Pakistan. | — | ||||||
| 4/24/26 | Wiki Hii barani Afrika: Somaliland tayari kuipa Marekani rasilimali zake kwa ajili yakutambuliwa kama taifa | Uongozi wa Somalilanda, uko tayari kuipa marekani haki za kuchimba madini nakuweka kambi zaki jeshi, kwa ajili yakutambuliwa kama nchi huru. | — | ||||||
| 4/24/26 | SBS Learn Eng Ep 108 Jinsi yakuzungumza kuhusu gharama ya maisha | Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu gharama ya maisha ukitumia Kiingereza? | — | ||||||
| 4/24/26 | Taarifa ya Habari: Hatimae Tume ya Jaji Chande yatoa ripoti ya vurugu za uchaguzi Mkuu Tanzania | Waziri Mkuu anasema wavu wa usalama wa umma utakuwa tayari kwa wakati, kuwasaidia Waaustralia watakao ondolewa kutoka Mpango wa Bima wa Kitaifa ya Ulemavu (NDIS) yenye thamani ya mabilioni ya dola. | — | ||||||
| 4/24/26 | Makala leo: Watetezi waunga mkono uamuzi wa kuoga bure katika huduma ya utunzaji wa wazee nyumbani | Wiki hii umakini mkubwa umekuwa kwenye Mfumo wa Kitaifa wa Bima ya Watu Wenye Ulemavu (NDIS), serikali ya shirikisho ikitangaza makato ambayo yanakadiriwa yata ondoa makumi ya maelfu ya watu kwenye mfumo huo. | — | ||||||
| 4/23/26 | The overlooked story: Aboriginal and Torres Strait Islander service on ANZAC Day - Hadithi iliyopuuzwa: Huduma yawa Aboriginal na wana Visiwa wa vya Torres Strait katika siku ya ANZAC | Each year Australians gather on ANZAC Day to remember those who served in wars, conflicts and peacekeeping missions. But whose stories are we remembering? Are there stories we don’t always hear? In this episode we explore an important part of Australia’s history that has often been overlooked—the service of Aboriginal and Torres Strait Islander peoples. - Kila mwaka Waaustralia hujumuika katika siku ya ANZAC kuwakumbuka waliohudumu katika vita, migogoro na misheni za kulinda amani. Lakini tunakumbuka hadithi za nani? Je, kuna hadithi ambazo hatuzisikii kila wakati? Katika makala haya tunachunguza sehemu muhimu ya historia ya Australia ambayo mara nyingi imekuwa ikipuuzwa—huduma ya watu wa Asili na wakaazi wa Visiwa vya Torres Strait. | — | ||||||
| 4/23/26 | Taarifa ya Habari:Waathiriwa wa maandamano wakataa mapendekezo ya sasa ya kuhusu fidia nchini Kenya | Waziri Mkuu Anthony Albanese amepuuza matarajio ya vikwazo vikali vya mafuta, kabla ya mkutano wa kitaifa wa baraza la mawaziri leo [[Alhamisi Aprili 23]]. | — | ||||||
| 4/21/26 | Makala leo: Waombolezaji wa Kitaalamu wa Kenya walipwa kulia | Unawezaje hakikisha kwamba msiba uta hudhuriwa na watu wengi? Baada ya yote, jambo la mwisho unalotaka kutokea unapo aga dunia... ni kuondoka bila shamra shamra yoyote. | — | ||||||
| 4/21/26 | Wiki Hii barani Afrika:Papa Leo aomba mamlaka ya Angola kumaliza ubaguzi ambao ume endelea kusumbua nchi hiyo | Kiongozi wa kanisa Katoliki Papa Leo XIV, amekemea vitendo vya rushwa na kuzitaka mamlaka za Angola kumaliza ubaguzi ambao ume endelea kusumbua nchi hiyo tangu kumalizika kwa vita vya wenyewe kwa mwenyewe 2002. | — | ||||||
| 4/21/26 | Taarifa ya Habari:Australia ya omba matokeo ya mazungumzo katika Mlango-Bahari wa Hormuz | Waziri wa Mambo ya Nje Penny Wong anasema Australia ina omba matokeo ya mazungumzo katika Mlango-Bahari wa Hormuz, baada ya Marekani kushambulia na kukamata meli ya mizigo yenye bendera ya Iran. | — | ||||||
| 4/20/26 | Hadithi iliyopuuzwa: Huduma yawa Aboriginal na wana Visiwa wa vya Torres Strait katika siku ya ANZAC | Siku ya ANZAC ni moja ya siku muhimu zaidi za kitaifa nchini Australia. Kila mwaka, watu hukusanyika kuwakumbuka waliohudumu katika vita, migogoro na misheni za kulinda amani. | — | ||||||
| 4/20/26 | Taarifa ya Habari: DRC na M23 wa afikiana kuhusu hatua muhimu za kibinaadamu | Mweka Hazina wa taifa Jim Chalmers anasema atafanya mazungumzo na serikali za majimbo na mikoa, kuhusu kupunguza ukuaji wa Mfumo wa Kitaifa wa Bima ya Ulemavu (NDIS). | — | ||||||
Showing 25 of 824
Sponsor Intelligence
Sign in to see which brands sponsor this podcast, their ad offers, and promo codes.
Chart Positions
2 placements across 2 markets.
Chart Positions
2 placements across 2 markets.


























