
Ushirikishwaji wa wanawake katika sekta za kiuchumi chanzo cha ukuaji wa uchumi
From Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili
February 25, 2026 · 10 min
About this episode
The episode discusses the role of women's participation in economic sectors as a source of economic growth, highlighting the challenges and progress in achieving workplace equality.
Benki ya Dunia inasema hata katika nchi zenye sheria za kisasa kuhusu usawa kazini, nchi hizo zimeshindwa kuzitekeleza, hadi sasa hakuna nchi iliyofikia kiwango cha juu cha usawa kazini, n ani asilimia kidogo tu ya wanawake wanaishi kwenye nchi zenye angalau sheria bora, huku mataifa 70 ikiwemo Misri, Madagascra na Somalia zikipiga hatua katika kuboresha mazingira ya usawa kati yam waka 2023 na 2025.
Topics covered
- women empowerment
- economic growth
- gender equality
- labor laws
- development
Keywords
- World Bank
- gender equality
- economic sectors
- Egypt
- Madagascar
- Somalia
- 2023
- 2025
Mentioned in this episode
Places: sheria bora, huku mataifa, Madagascra na Somalia, kati yam
More episodes of Gurudumu la Uchumi
- Akili unde na mustakabali wa uchumi wa Afrika: Fursa mpya kwa vijana wabunifu · April 22, 2026 · 10 min
- Kwa nini vikwazo vya usafirishaji ni kizuizi kikubwa cha biashara Afrika Mashariki · April 1, 2026 · 10 min
- Uwazi kwenye ubinafsishaji wa mashirika ya uma ni muhimu kwa maendeleo · March 11, 2026 · 10 min
- Vita ya Iran: Afrika imejipangaje kukabiliana na athari za kiuchumi · March 4, 2026 · 10 min
- Ushirikiano wa kikanda hatarini: Nakisi ya bajeti yaibua maswali mapya · February 18, 2026 · 10 min
- Dubai: Viongozi wa dunia waangazia mageuzi ya sera, ubunifu na mifumo mipya ya utawala · February 5, 2026 · 10 min
Explore listener stats, chart rankings, contacts and more on the Gurudumu la Uchumi podcast page.