
Siku ya Kimataifa ya nishati safi 26 01 2026: Biogesi kama moja ya suluhisho
From Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili
January 27, 2026 · 10 min
About this episode
The episode discusses the efforts of Umande Trust in providing clean cooking energy solutions in impoverished communities.
Upatikanaji wa nishati safi ya kupikia katika jamii kwenye vitongoji duni. Tumetembelea mtaa wa Kawangware, jijini Nairobi, kufahamu juhudi ambazo shirika la Umande Trust linafanya katika suala zima la upatikanaji wa nishati safi kwa kuzingatia usafi wa mazingira.
Topics covered
- energy
- environment
- sustainability
- community development
- clean cooking
Keywords
- clean energy
- Kawangware
- Umande Trust
- environmental cleanliness
- cooking energy
More episodes of Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
- Sera za Mipango miji barani Afrika zinazingatia ustahimilivu wa majanga mijini? · April 20, 2026 · 10 min
- Ukulima wa mianzi katika kutunza mazingira ya mito nchini Kenya. · April 10, 2026 · 10 min
- Manufaa ya ardhi oevu ya Ondiri kwa jamii ya kikuyu · April 1, 2026 · 10 min
- Uhifadhi wa kinamasi cha Ondiri mjini Kikuyu, nchini Kenya · March 24, 2026 · 10 min
- Matumizi ya mitego ya wadudu inayotumia sola yaboresha parachichi na mazingira · February 24, 2026 · 10 min
- Jukumu la redio katika kuelimisha kuhusu mazingira na tabianchi · February 17, 2026 · 10 min
Explore listener stats, chart rankings, contacts and more on the Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho podcast page.