
Insights from recent episode analysis
Audience Interest
Podcast Focus
Publishing Consistency
Platform Reach
Insights are generated by CastFox AI using publicly available data, episode content, and proprietary models.
Most discussed topics
Brands & references
Est. Listeners
Insufficient chart data. Estimates will improve as the show charts.
- Per-Episode Audience
Est. listeners per new episode within ~30 days
N/A🎙 Daily cadence·24 episodes·Last published yesterday - Monthly Reach
Unique listeners across all episodes (30 days)
N/A - Active Followers
Loyal subscribers who consistently listen
N/A
Market Insights
Platform Distribution
Reach across major podcast platforms, updated hourly
Total Followers
—
Total Plays
—
Total Reviews
—
* Data sourced directly from platform APIs and aggregated hourly across all major podcast directories.
On the show
From 10 epsHosts
Not detected.
Recent guests
Recent episodes
Kwa nini ni muhimu wanaume kuzingatia afya zao haswa afya ya akili
Jun 23, 2026
Unknown duration
Shule ya Mali jijini Nairobi inavyowasaidia watoto wenye Austism pamoja na wazazi
Jun 16, 2026
Unknown duration
Shinikizo kutaka mataifa kuja na sera endelevu na salama za uchukuzi
Jun 11, 2026
Unknown duration
Majanga yanaweza kusababisha matatizo ya afya ya akili miongoni mwa watoto
Jun 6, 2026
Unknown duration
Mwendelezo wa mlipuko wa Ebola DRC na namna wenyeji wanavyojikinga
May 30, 2026
Unknown duration
Social Links & Contact
Official channels & resources
Official Website
Login
RSS Feed
Login
| Date | Episode | Topics | Guests | Brands | Places | Keywords | Sponsor | Length | |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 6/23/26 | ![]() Kwa nini ni muhimu wanaume kuzingatia afya zao haswa afya ya akili | Mwezi Juni ni mwezi wa kutoa uhamasisho kuhusu afya ya akili miongoni mwa wanaume ,swala la afya ambalo hupuuzwa mno Daktari Dominic Osiemo anasema wanaume wana haki wa kuonesha hisia ,kueleza maumivu yao na kutaka kuskizwa. Na wanapofanya hivyo wanalinda afya zao za akili. Anaonya wanaume wengi wanakuwa hatarini kwa sababu wanajaribu kudhihirishia jamii kuwa wao ni imara siku zote. Baadhi ya vipimo muhimu kwa wanaume ni kipimo cha kiwango cha sukari ,kipimo cha tezi dume na shinikizo la damu. | — | ||||||
| 6/16/26 | ![]() Shule ya Mali jijini Nairobi inavyowasaidia watoto wenye Austism pamoja na wazazi | Katika mkakati wa kupunguza unyanyapaa kwa wazazi wanaowalea watoto wenye Autism shule ya Mali inatoa tiba nasaha na elimu kwa pamoja ikizingatia pia mahitaji ya wazazi wao ambao mara nyingi wanahitaji pia matunzo | — | ||||||
| 6/11/26 | ![]() Shinikizo kutaka mataifa kuja na sera endelevu na salama za uchukuzi | Shinikizo zinazidi kutolewa kwa mataifa ya Afrika kukumbatia sera za uchukuzi zilizo salama na endelevu ili kupunguza idadi ya vifo vinavyotokana na barabara na madhara ya ajali za barabara kwa jamii. Katika kongamano la kujadili mpango huo wa usalama ulio endelevu ,wadau wamesikitika vifo vya barabarani bado vinaripotiwa miongoni mwa watembea miguu na waendesha pikipiki. Katika makala ya Siha Njema wiki hii tunajadili kwa nini swala hili ni muhimu kwa ustawi wa jamii. | — | ||||||
| 6/6/26 | ![]() Majanga yanaweza kusababisha matatizo ya afya ya akili miongoni mwa watoto | Mataifa ya Afrika yameshuhudia mafuriko katika miaka ya hivi karibuni ,hali ambayo imesababisha wananchi wengi kulazimika kuhama makazi yao Nchini Kenya ,ukanda wa magharibi ,katika eneo la Busia,mafuriko hayo yamevuruga kalenda za wanafunzi wa shule ,watoto wengi wakishindwa kuendelea na shule au kukubaliana na msongamano kwenye shule chache ambazo ziko maeneo salama Hali hii imewasababisha changamoto za afya ya akili anavyoeleza mwaandishi wetu Petronila Ogalo. | — | ||||||
| 5/30/26 | ![]() Mwendelezo wa mlipuko wa Ebola DRC na namna wenyeji wanavyojikinga | Watu 220 wamefariki kwenye mlipuko wa Ebola unaohusishwa na virusi adimu vya Bundibugyo huku wengine zaidi ya 1000 wakiwa wameambukizwa Mlipuko huu hatari umesababisha baadhi ya mataifa kufunga mipaka yake na kuweka masharti magumu ya tahadhari | — | ||||||
| 5/22/26 | ![]() Kwenye kapu la sekta ya afya kufuatia kongamano la Africa Forward | Baadhi ya makubaliano yalitotangazwa na Ufaransa baada ya siku mbili ya kongamano la Africa Forward ni ufadhili kwa uzalishaji wa dawa na chanjo hapa barani Afrika. Shirika la Unitaid pia lenye ushirikiano na Ufaransa lilitangaza kuratibu mchakato wa kuzalishwa dawa mpya ya kuzuia virusi vya HIV ,Lenacapavir kuzalishwa Afrika Kusini. Na kwenye viungo vingine vilivyosheheni majadiliano ya kuimarisha mifumo ya afya Afrika ni kilimo endelevu . | — | ||||||
| 5/16/26 | ![]() Mashirika ya kiraia Afrika yanataka nchi za Afrika kuwa na taratibu za pamoja kudhibiti magonjwa | Taratibu hizo za pamoja yatahakikisha kuwa nchi za Afrika zinaweka bajeti kwenye sera ya uchumi na kuipa kipau mbele ufadhili wa afya | — | ||||||
| 5/5/26 | ![]() Watalaam wasisitiza uwekezaji wa utafiti wa DNA barani Afrika | Utafiti unaoangazia vinasaba katika ukanda wa Afrika unaweza kuwa jawabu kwa ubainishaji potovu,gharama ya juu ya matibabu na usugu wa vimelea . Kwa kuanzia , Mashirika matatu ya Afrika ya kitafiti yametangaza mkataba wa dola milioni 3 nukta 5 ambao utawekezwa kwenye utafiti huu wa DNA barani . Mashirika haya yakiwa ni Biolinx Africa, YTO Foundation yenye makao Ivory Coast na Nextgen Molecular Lab nchini Kenya. | — | ||||||
| 4/28/26 | ![]() Mpango wa kuongeza ujuzi wa wahudumu wa afya kwa kutumia teknolojia | Ufadhili wa afya ukanda wa Afrika umezidi kupungua tangu kusitishwa kwa ufadhili mkubwa wa kigeni Pengo hilo linamanisha serikali nyingi hazina uwezo wa kifedha wa kutosha kuendelea kutoa mafunzo endelevu ya wahudumu wa afya. Katika kujaribu kutatua changamoto hii ,mpango wa ECHO unaowasaidia wahudumu wa afya kujifunza wakati wanapoendelea kuwahudumia wagonjwa ,umekuja kuleta matumaini. | — | ||||||
| 4/23/26 | ![]() Mataifa ya Afrika mbioni kuboresha mkataba wa kupambana na majanga✨ | healthdisaster management+3 | — | Mataifa ya AfrikaWHO | majangamataifa ya ulimwengu | WHOdisaster response treaty+3 | — | 10m 07s | |
Want analysis for the episodes below?Free for Pro Submit a request, we'll have your selected episodes analyzed within an hour. Free, at no cost to you, for Pro users. | |||||||||
| 4/16/26 | ![]() Miaka mitatu tangu Sudan kuingia kwenye mzozo huduma za afya zimedorora✨ | healthconflict+3 | — | MSF | SudanAsilimia+1 | Sudanhealthcare services+7 | — | 9m 19s | |
| 4/7/26 | ![]() Kliniki tembezi za figo zinavyowasaidia wagonjwa wa figo nchini Kenya✨ | healthkidney disease+3 | — | — | Kenya | kidney diseasemobile clinics+3 | — | 10m 15s | |
| 3/31/26 | ![]() Magonjwa ya Autoimune yana uwezo kukusababishia magonjwa mengine zaidi✨ | autoimmune diseaseshealth+3 | Elwyn Chebet | — | Magonjwa ya AutoimuneMagonjwa yanayoshambulia kinga+2 | autoimmune diseasesLupus+4 | — | 10m 23s | |
| 3/24/26 | ![]() Visa vingi vya TB Afrika bado vinapatikana miongoni mwa vijana hasa wanaume✨ | healthtuberculosis+3 | — | — | — | TByouth health services+3 | — | 10m 18s | |
| 3/24/26 | ![]() Nini magonjwa yanayoathiri kinga mwili au Autoimmune✨ | autoimmune diseaseshealth+3 | — | — | — | autoimmune diseasesimmune system+7 | — | 10m 15s | |
| 3/20/26 | ![]() Kampeni ya kumaliza unyanyapaa wa siku za hedhi kwa kushirikisha wanaume✨ | healthmenstrual health+3 | — | — | kushirikisha wanaumejamii nyingi | unyanyapaasiku za hedhi+3 | — | 10m 03s | |
| 3/3/26 | ![]() Madhara ya afya ya akili yanayotokana na matumizi ya kupitiliza ya simu✨ | mental healthmobile phone usage+3 | — | mobile phones | Finland | mental health reportmobile phone usage+3 | — | 10m 05s | |
| 2/24/26 | ![]() Fahamu madhara ya mvua kubwa kwa afya yako na namna ya kujikinga✨ | healthenvironment+3 | — | — | Mvua kubwa inaendelea | heavy rainfallflooding+3 | — | 8m 59s | |
| 2/10/26 | ![]() Kupambana na ugonjwa wa mbwa kichaa Nairobi kwa kuzingatia maslahi ya mbwa✨ | healthanimal welfare+3 | — | Kupambana na ugonjwa wa mbwa | Nairobi | ugonjwa wa mbwa kichaambwa mtaa+3 | — | 10m 10s | |
| 2/5/26 | ![]() Kwa nini kuna umuhimu wa kutumia dawa za minyoo baada ya miezi sita | Shirika la afya duniani ,WHO hupendekeza matumizi ya dawa za minyoo kwa watoto kati ya mwaka moja hadi 12 ,vijana wenye umri kati ya 13- 19 ,wanawake walio kwenye umri wa kupata watoto na watu wanaoishi katika maeneo yenye minyoo. Hii ni njia mojawapo ya kupambana na utapiamlo, Anamia na matatizo yanayoletwa na minyoo. | — | ||||||
| 1/26/26 | ![]() Kufunga saum inafaidi afya yako vile vile nafsi yako ikiwa utafanya mara kwa mara | Kuna ushahidi unaoonesha kwamba kufunga kunaweza kusaidia kurekebisha miili yetu ,wakati mwingine kuongeza maisha yetu, pia njia bora ya kupunguza uzito, Kitendo cha kukumbatia Saum huchochea usafi wa moyo, nafsi na kusafisha mwili wako kwa kuondoa chakula ambacho mara nyingine hugeuka kuma sumu mwilini na chanzo cha magonjwa yasiyoambukiza. Wataalam wa afya pamoja na watetezi wa kufunga wanasema kuna uhusiano mkubwa kati ya afya ya kimwili na afya ya kiroho. Kwenye makala hayo ya Siha Njema tunakupa ufafanuzi huu tukisaidiwa na daktari Julius Maleve na pia kiongozi wa kidini Mtume Julius Suubi ,ambaye ameandika kitabu kuhusu faida za kufunga na ambaye amekuwa akifunga kwa kati ya siku 40 hadi 90 kila mwaka kwa zaidi ya mwaka 20 sasa. | — | ||||||
| 12/30/25 | ![]() Mpango wa kliniki tembezi unavyowafaidi wakaaji kaskazini mwa Kenya | Mpango wa kliniki tembezi yaani mobile clinics ni pale ambapo wahudumu wa afya wanatembea nyumba kwa nyumba na kuwatibu wenyeji kama vile wazee,akina mama na watoto.Maeneo ya kaskazini mwa Kenya ambapo hospitali huwa mbali na vijiji ,ndiyo yanayolengwa kwenye mpango huo. | — | ||||||
| 12/23/25 | ![]() Juhudi za wazee kukomesha ukeketaji wa wasichana kaskazini mwa Kenya | Ukeketaji wa wasichana bado ni changamoto kubwa katika baadhi ya maeneo ya kaskazini mwa Kenya, licha ya marufuku ya kitaifa na juhudi za uhamasishaji zinazoendelea. Takwimu za Kitaifa KNBS na zile Wizara ya Afya zinaonyesha kuwa asilimia 83 ya wanawake na wasichana wa Marsabit na 66 wa Isiolo tayari wamekeketwa—ikiziweka kaunti hizi miongoni mwa maeneo yenye viwango vya juu zaidi nchini.Sasa wazee maeneo hayo wameanza mchakato kukabiliana na ukeketaji huo | — | ||||||
| 12/17/25 | ![]() Je una uhakika wa usalama wa nyama unayoila kila mara nyumbani? | Watalaam wa wanyama wanasisitiza wanyama wote wanaochinjwa ni sharti kutimiza viwango vya juu ikiwemo mwonekano ,afya na usafi. Na kabla kuchinjwa wanyama hao kwa mfano ngombe ,hukaguliwa na kutengwa ili kubainisha nyama yao ni salama. Kwa mlaji unashauriwa kununua nyama iliyo na muhuri ambayo ni alama ya kuonesha nyama hiyo imekaguliwa na kuthibitishwa ni salama. Kwa wale wanaochinjia nyumbani bado unatakiwa kumpata mtalaam wa wanyama kumkagua mnyama wako na kutoa kibali cha kuchinjwa. | — | ||||||
Showing 24 of 24
Sponsor Intelligence
Sign in to see which brands sponsor this podcast, their ad offers, and promo codes.
