
Kupambana na ugonjwa wa mbwa kichaa Nairobi kwa kuzingatia maslahi ya mbwa
From Siha Njema by RFI Kiswahili
February 10, 2026 · 10 min
About this episode
The episode discusses efforts in Nairobi to control the stray dog population and combat rabies through proper care and vaccination.
Mamlaka jijini Nairobi zimefanya operesheni kudhibiti ongezeko la mbwa mtaa katika mkakati wa kupambana na ugonjwa wa mbwa kichaa Mbwa japo anasemekana kuwa rafiki wa karibu na mwaminifu unapomfuga ,matunzo yasiyofaa au kuwatelekeza unaweza kukuweka karibu na ugonjwa wa mbwa kichaa Ukiwa utamfuga mbwa ,sharti kuzingatia usafi na chanjo ya kila mwaka dhidi ya ugonjwa wa mbwa kichaa
Topics covered
- health
- animal welfare
- public health
- disease prevention
- vaccination
Keywords
- ugonjwa wa mbwa kichaa
- mbwa mtaa
- operesheni kudhibiti
- usafi
- chanjo ya kila mwaka
Mentioned in this episode
Places: Nairobi
More episodes of Siha Njema
- Mataifa ya Afrika mbioni kuboresha mkataba wa kupambana na majanga · April 23, 2026 · 10 min
- Miaka mitatu tangu Sudan kuingia kwenye mzozo huduma za afya zimedorora · April 16, 2026 · 9 min
- Kliniki tembezi za figo zinavyowasaidia wagonjwa wa figo nchini Kenya · April 7, 2026 · 10 min
- Magonjwa ya Autoimune yana uwezo kukusababishia magonjwa mengine zaidi · March 31, 2026 · 10 min
- Visa vingi vya TB Afrika bado vinapatikana miongoni mwa vijana hasa wanaume · March 24, 2026 · 10 min
- Nini magonjwa yanayoathiri kinga mwili au Autoimmune · March 24, 2026 · 10 min
Explore listener stats, chart rankings, contacts and more on the Siha Njema podcast page.