
Kenya Kuwa Singapore ya Afrika: Ndoto au Uhalisia?
From Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili
January 14, 2026 · 10 min
About this episode
The episode discusses the feasibility of Kenya becoming the Singapore of Africa as proposed by President William Ruto.
Msikilizaji Rais wa Kenya, William Ruto, ameendelea kusisitiza azma ya kuifanya nchi yake kuwa Singapore ya Afrika, suala ambalo limeibua mjadala mkali nchini humo baadhi wakisema ni suala ambalo halitawezekana chini ya utawala wake na wengine wakiona ni jambo linalowezekana. Kwenye makala yetu leo tunajiuliza, je, Kenya inaelekea huko? Ndoto hii inawezekana au ni siasa?
Topics covered
- economy
- politics
- development
- Africa
- Kenya
Keywords
- Kenya
- Singapore
- William Ruto
- political debate
- economic aspirations
Mentioned in this episode
Places: Kenya, Singapore, Ndoto au Uhalisia
More episodes of Gurudumu la Uchumi
- Akili unde na mustakabali wa uchumi wa Afrika: Fursa mpya kwa vijana wabunifu · April 22, 2026 · 10 min
- Kwa nini vikwazo vya usafirishaji ni kizuizi kikubwa cha biashara Afrika Mashariki · April 1, 2026 · 10 min
- Uwazi kwenye ubinafsishaji wa mashirika ya uma ni muhimu kwa maendeleo · March 11, 2026 · 10 min
- Vita ya Iran: Afrika imejipangaje kukabiliana na athari za kiuchumi · March 4, 2026 · 10 min
- Ushirikishwaji wa wanawake katika sekta za kiuchumi chanzo cha ukuaji wa uchumi · February 25, 2026 · 10 min
- Ushirikiano wa kikanda hatarini: Nakisi ya bajeti yaibua maswali mapya · February 18, 2026 · 10 min
Explore listener stats, chart rankings, contacts and more on the Gurudumu la Uchumi podcast page.