
10 JUNI 2026
From Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu by United Nations
June 10, 2026 · 10 min
About this episode
The episode discusses the CRPD member states meeting focusing on the rights and support for people with disabilities, featuring an interview with a Tanzanian MP.
Jaridani leo tunakuletea mada kwa kina maalum ambayo kama nilivyokujuza hapo awali inaangazia mkutano wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Haki za Watu Wenye Ulemavu CRPD, unaofanyika hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa chini ya kauli mbiu “kuadhimisha miaka 20 ya mkataba huo na kuimarisha utekelezaji wake katika dunia inayobadilika.”Washiriki wanajadili namna ya kutokomeza ukandamizaji, ukatili na manyanyaso dhidi ya watu wenye ulemavu, kuimarisha mifumo ya huduma na msaada, pamoja na kuongeza ushiriki na uwakilishi wao katika maisha ya kisiasa na umma. Miongoni mwa wanaohudhuria mkutano huo ni Nassriya Nassir Ali mbunge wa watu wenye ulemavu kutoka nchini Tanzania, yeye anaulemavu wa kusikia au kiziwi. Leah Mushi amefanya mahojiano naye na hapa mkalimani wake wa lugha ya Alama Tusajigwe Ernest anajibu kwa sauti. Pia tunakuletea mhtasari wa habari tukimulika haki za elimu kwa watoto nchini Sudan, usalama wa mabaharia na judhibiti wa kusambaa kwa virusi vya Ebola hasa wakati huu wa michezo ya kimataifa ya kuwania kombe la dunia. Mwenyeji wako ni Anold Kayanda, karibu!
People in this episode
Host: Anold Kayanda
Guest: Nassriya Nassir Ali
Topics covered
- Haki za Watu Wenye Ulemavu
- Mkutano wa Nchi Wanachama
- Ukatili dhidi ya watu wenye ulemavu
- Huduma na msaada kwa watu wenye ulemavu
- Haki za elimu
- Usalama wa mabaharia
- Virusi vya Ebola
Keywords
- Haki za Watu Wenye Ulemavu
- Mkataba wa CRPD
- ukandamizaji
- ukatili
- mikutano
- Nassriya Nassir Ali
- Ebola
- elimu
- mabaharia
Mentioned in this episode
Organizations: Umoja wa Mataifa, Mkataba wa Haki za Watu Wenye Ulemavu CRPD
Places: Tanzania, Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa
More episodes of Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
- 12 JUNI 2026 · June 12, 2026 · 10 min
- Jifunze Kiswahili: Maana ya methali “Lililo lujani ni la lusu” · June 11, 2026
- 11 JUNI 2026 · June 11, 2026 · 11 min
- Jifunze Kiswahili: Maana na matumizi ya neno "MKWARUZO." · June 9, 2026
- 09 JUNI 2026 · June 9, 2026 · 10 min
- Kevin Wekesa ambaye ni nyota wa raga anaongoza uchechemuzi wa mazingira kupitia michezo · June 8, 2026 · 3 min
Explore listener stats, chart rankings, contacts and more on the Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu podcast page.