
12 JUNI 2026
From Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu by United Nations
June 12, 2026 · 10 min
About this episode
Episode discusses the outcomes of the 19th meeting of the CRPD and features an interview with a successful judge who is visually impaired.
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina. Mkutano wa 19 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Haki za Watu Wenye Ulemavu CRPD, umehitimishwa jana katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani. Watu wenye ulemavu na wadau mbalimbali wa Serikali na Mashirika yasiyo ya Serikali walikusanyika kutoka kila pembe ya dunia kujadili hatua zilizopigwa katika kipindi cha miaka 20 ya Mkataba wa Kimataifa wa Haki za Watu Wenye Ulemavu, CRPD. Mmoja wa waliohudhuria ni Bwana Kibaya Laibuta ambaye licha ya kupoteza uwezo wa kuona akiwa na umri wa miaka 24 alipokuwa mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Nairobi bado alifanikiwa kusonga mbele akamaliza masomo yake ya sheria na masomo mengine ya ngazi za juu na sasa miaka mingi baadaye ni Jaji katika Mahakama ya Rufaa ya Kenya. Siri yake ya mafaniko ndio hasa anaihamasisha kote duniani na anaiweka wazi katika mazungumzo yafuatayo na Anold Kayanda wa Idhaa hii ya Umoja wa Mataifa ili watu wengine wenye ulemavu wafanikiwe kama yeye. Pia tunakuletea muhtasari wa habari zikiwemo za hatua za kupambana na UKIMWI, maambukizi ya ugonjwa wa Ebola hasa kwa watoto DRC, na ujumbe katika siku ya kimataifa ya kupinga utumikishaji wa…
People in this episode
Host: Rashid Malekela
Guest: Bwana Kibaya Laibuta
Topics covered
- Haki za Watu Wenye Ulemavu
- Mkutano wa CRPD
- Mafanikio ya Watu Wenye Ulemavu
- UKIMWI
- Ebola
- Utumikishaji wa Watoto
Keywords
- Haki za Watu Wenye Ulemavu
- CRPD
- Mkutano
- Mafanikio
- Ebola
- UKIMWI
- Utumikishaji wa Watoto
Mentioned in this episode
Organizations: Umoja wa Mataifa, Chuo Kikuu cha Nairobi, Mahakama ya Rufaa ya Kenya
Places: Kenya, Marekani
More episodes of Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
- Jifunze Kiswahili: Maana ya methali “Lililo lujani ni la lusu” · June 11, 2026
- 11 JUNI 2026 · June 11, 2026 · 11 min
- 10 JUNI 2026 · June 10, 2026 · 10 min
- Jifunze Kiswahili: Maana na matumizi ya neno "MKWARUZO." · June 9, 2026
- 09 JUNI 2026 · June 9, 2026 · 10 min
- Kevin Wekesa ambaye ni nyota wa raga anaongoza uchechemuzi wa mazingira kupitia michezo · June 8, 2026 · 3 min
Explore listener stats, chart rankings, contacts and more on the Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu podcast page.