
Rwanda ni miongoni mwa mataifa yaliyopiga hatua kukabiliana na homa ya ini
From Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu by United Nations
April 29, 2026 · 3 min
About this episode
Ripoti mpya ya WHO inaonesha mafanikio katika mapambano dhidi ya homa ya ini ya virusi aina ya B na C, huku Rwanda ikichangia hatua hizo.
Mapambano ya kimataifa dhidi ya homa ya ini ya virusi aina ya B na C yanaanza kuonesha mafanikio, imesema ripoti mpya ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya duniani, WHO, iliyotolewa Aprili 28, 2026. Ripoti hiyo, imezinduliwa wakati wa Mkutano wa Kimataifa wa Homa ya Ini mjini Bangkok, Thailand, mkutano ulioingia leo siku ya pili na unakunya jamvi kesho. Assumpta Massoi na maelezo zaidi.
Topics covered
- homa ya ini
- mapambano ya kimataifa
- WHO
- Rwanda
- mkutano wa kimataifa
Keywords
- homa ya ini
- virusi B
- virusi C
- WHO
- Rwanda
- Bangkok
- mkutano
Mentioned in this episode
Organizations: Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya duniani
Places: Rwanda, Bangkok, Thailand
More episodes of Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
- 12 JUNI 2026 · June 12, 2026 · 10 min
- Jifunze Kiswahili: Maana ya methali “Lililo lujani ni la lusu” · June 11, 2026
- 11 JUNI 2026 · June 11, 2026 · 11 min
- 10 JUNI 2026 · June 10, 2026 · 10 min
- Jifunze Kiswahili: Maana na matumizi ya neno "MKWARUZO." · June 9, 2026
- 09 JUNI 2026 · June 9, 2026 · 10 min
Explore listener stats, chart rankings, contacts and more on the Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu podcast page.