
Mashambulio yaendelea mashariki ya kati na mauaji ya mfanyakazi wa UNICEF DRC
From Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili
March 14, 2026 · 20 min
About this episode
The episode discusses ongoing attacks in the Middle East, the killing of a UNICEF worker in DRC, and political developments in Kenya and Uganda.
Makala hii imeangazia pakubwa mashambulio ya Marekani na Israeli huko Iran huku Irani nayo ikijibu mapigo kwa kuishambulia Israeli, na pia kuachiwa huru kwa aliyekuwa waziri mkuu wa Burundi Alain Bunyoni, shambulio la ndege zisizo na rubani lililowaua watu watatu miongoni mwao, mfanyakazi wa shirika la UNICEF kwenye mji wa Goma, mashariki mwa DRC, siasa za Kenya, Uganda na maeneo mengine ya Afrika.
Topics covered
- Middle East conflict
- UNICEF
- politics
- Africa
- drone strikes
Keywords
- mashambulio
- Iran
- Israeli
- Alain Bunyoni
- Goma
- DRC
- Kenya
- Uganda
Mentioned in this episode
Places: Iran, kuishambulia, mfanyakazi wa shirika, mashariki mwa, DRC, siasa za, Kenya, Uganda
More episodes of Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
- Kifo tatanishi cha waziri wa habari wa Burundi, Iran na Marekani zatunishiana misuli · April 18, 2026 · 20 min
- Rwanda yaadhimisha miaka 32, mauaji ya kimbari, Israeli yashambulia Lebanon · April 11, 2026 · 20 min
- Waasi wa ADF waua 40 mashariki mwa DRC, Iran yapuuzi vitisho vya Trump · April 4, 2026 · 20 min
- UN yasikitishwa na hali mashariki mwa DRC, miili 33 yagunduliwa nchini Kenya · March 28, 2026 · 20 min
- Bei ya mafuta yapanda duniani, DRC na Rwanda kupunguza uhasama · March 26, 2026 · 20 min
- Jeshi la Rwanda lawekewa vikwazo, Israeli na Marekani zashambulia Iran · March 7, 2026 · 20 min
Explore listener stats, chart rankings, contacts and more on the Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii podcast page.