UN yasikitishwa na hali mashariki mwa DRC, miili 33 yagunduliwa nchini Kenya

UN yasikitishwa na hali mashariki mwa DRC, miili 33 yagunduliwa nchini Kenya

From Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

March 28, 2026 · 20 min

About this episode

The episode discusses the UN's concerns regarding the situation in eastern DRC and the discovery of 14 bodies in Kenya.

Miongoni mwa yaliyojiri wiki hii ni pamoja na baraza la usalama la umoja wa mataifa lataka kufunguliwa upya kwa viwanja vya ndege kwenye miji ya Goma na Bukavu mashariki mwa DRC, kiongozi wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine alisema uhuru wake sio mjadala, miili 14 ilipatikana iliyopatikana nchini Kenya kufanyiwa upasuaji kubaini chanzo cha vifo. utambuzi wa utumwa kuwa uhalifu dhidi ya haki za ubinadamu, na rais Trump, aahirisha mpango wake wa kushambulia vinu vya nishati vya Iran

Topics covered

  • news
  • politics
  • human rights
  • international relations
  • crime

Keywords

  • UN Security Council
  • Goma
  • Bukavu
  • Bobi Wine
  • human rights violations
  • Trump
  • Iran

Mentioned in this episode

Places: DRC, Kenya, Uganda, Iran

More episodes of Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Explore listener stats, chart rankings, contacts and more on the Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii podcast page.